Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

Watu 7 mbaroni tuhuma za kumteka mwanamke Dar wakitaka kupatiwa dola milioni 3.5 kutoka familia ya mhanga

Polisi wamekosea sana!
.
Hao ilitakiwa wawahoji huko huko chimbo walikokutwa, baada ya mahojiano wanamchukua, bint wale jamaa wanakula vyuma vya kichwa kila mmoja kisha wanakuja mbele ya kamera wanasema tumeua majambazi yaliyomteka binti maana yalianza kuturushia risasi basi.

Habari ya upelelezi na mavi mengine yanayofanana na hayo ni kupoteza rasimali za taifa.
Mkuu kwa nilivyowaona watekaji, wanaonekana wakishua,

Wangekuwa wa kimaskini taarifa ingesema waliopotelewa na ndugu wafike Muhimbili kutambua maiti za makambazi yaliomteka binti,
Na kujibizana kwa risasi na Polisi,

Matajiri na watoto wao hawafungwi,

Rejea, waliotoboa bomba la mafuta Kigamboni, Kesi yao uliisikia Mahakana gani?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Hayo majina mengi yakisomali hata huyo mtekwaji jina lake kama lakisomali,hao wasomali huwa siwaamin sana na madili yao mpk wanatajirika,,,wana Umafia sana hao
 
Mkuu kwa nilivyowaona watekaji, wanaonekana wakishua,

Wangekuwa wa kimaskini taarifa ingesema waliopotelewa na ndugu wafike Muhimbili kutambua maiti za makambazi yaliomteka binti,
Na kujibizana kwa risasi na Polisi,

Matajiri na watoto wao hawafungwi,

Rejea, waliotoboa bomba la mafuta Kigamboni, Kesi yao uliisikia Mahakana gani?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Basi mkuu nmeshaelewa,
 
Raia wa Canada anateka mtu katika Developing country na kudai pesa.

Ama kweli yajayo yanafurahisha.
Huyo ni raia wa Canada si kwa kuzaliwa bali kwa kujiandikisha kama mkimbizi. Kwa kuzaliwa yeye ni Msomali. Kwa muda mrefu raia wengi wa Somalia wameikimbia nchi yao na kuwa wakimbizi katika nchi nyingi hapa Duniani.
 
Mkuu kwa nilivyowaona watekaji, wanaonekana wakishua,

Wangekuwa wa kimaskini taarifa ingesema waliopotelewa na ndugu wafike Muhimbili kutambua maiti za makambazi yaliomteka binti,
Na kujibizana kwa risasi na Polisi,

Matajiri na watoto wao hawafungwi,

Rejea, waliotoboa bomba la mafuta Kigamboni, Kesi yao uliisikia Mahakana gani?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Pia kuna jamaa anamiliki maroli alimuaa dereva wake kwa kumpiga risasi, hakujawahi kuwa na kesi ingawa jamaa alikamatwa na polisi, saivi jamaa anaishi canada
 
Chuma tu inaonesha Hani ni honey

IMG_0896.jpg
 
Na wale wanaolawiti watoto makanisani wana majina kama ya hao watekaji?.Koouuma wewe
Kwani ulawiti upo makanisani tu? Ulawiti ni swala la mtu na mtu kalelewaje kakuzwaje na nini kapitia maishani. Nimepokea neno lako ila nikuambie tu koouuma la mama yako linavuja usaha😁
 
Kwani ulawiti upo makanisani tu? Ulawiti ni swala la mtu na mtu kalelewaje kakuzwaje na nini kapitia maishani. Nimepokea neno lako ila nikuambie tu koouuma la mama yako linavuja usaha😁
Mikooouuundouw kama nyie hii ndo dawa yenu.Yani mukiona majina ya kiislam lazima mponde bila kujua kwamba tabia ya mtu haihusiani na dini yake.Unafeeirwa wewe
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa saba kwa tuhuma za kupanga njama, kumtishia kwa silaha, na baadaye kumteka mwanamke aliyefahamika kwa jina la Hani Hussein (29) Mkazi wa Masaki, Dar es Salaam.

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, linawashilia watuhumiwa saba kwa madai ya kupanga njama, kumtishia kwa silaha na kumteka mwanamke aaliyefahamika kwa jina la Hani Hussein (29), mkazi wa Masaki.

Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari, Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro leo Oktoba 30, 2023 amesema tukio la kumteka binti huyo lilitokea Oktoba 16, 2023.

“Tukio hili limetokea Oktoba 16, 2023 saa nne asubuhi wakati Hani Hussein akiwa anaendesha gari lake aina ya Toyota Rav4, ghafla akiwa eneo la Msasani Village alisimamishwa na sehemu ya kundi la watuhumiwa hao na kuingia ndani ya gari, kumtishia kwa silaha, kumteka na kuelekea maeneo ya Mbezi Beach mtaa wa ujirani ambako walimshikilia kwa nguvu kwa siku nne huku wakidai fedha kwa vitisho kwa baba wa mtekwaji kuwa asipotoa kiasi cha Dola za Marekani 3.5 milioni mtoto wake angepoteza maisha.

"Baada ya kupata taarifa ya tukio hilo, Jeshi la Polisi lilianza ufuatiliaji wa na Oktoba 19 tulifanikiwa kumuokoa na kuwakamata watekaji wote wakiwa na gari walilomteka, pamoja na silaha ilyotumika Pistol Glock 19 iliyotengenezwa Austria ikiwa na risasi 4," amesema Kamanda Muliro.

Amewataja watuhumiwa waliokamatwa kuwa ni Hassan AbusherNur (39) raia wa Canada mwenye asili ya Somalia na mkazi wa Msasani, Nathan Lungumisa (27), Fredick Chahonza (49), Assad Abdurasur (43), Fahad Mussa (32), Ilfan Saleh (41) na Nicolas Nilay (39).

Aidha ameeleza kuwa tayari upelelezi na watuhumiwa wote watafikishwa Mahakama ya Kisutu kwa hatua zaidi za kisheria.

MWANANCHI
Who was a movie director?
 
Hawa itakua walishapiga deal kadhaa wakafanikiwa, wakanogewa wakaona wapige mija zito la kuwatoa watoboe
 
Back
Top Bottom