Mudi bonge la mjanja aseee
Baada ya hayo, Yesu alizunguka Galilaya, akikusudia kukaa mbali na Yudea kwa sababu Wayahudi walikuwa wakingojea kumwua. Sikukuu ilipokaribia, ndugu zake Yesu wakamwambia, "Imekupasa kuondoka hapa uende Uyahudi, ili wanafunzi wako wapate kuona miujiza unayofanya. kwa kuwa unafanya mambo haya, jionyeshe kwa ulimwengu." Maana hata ndugu zake hawakumwamini.
Kwa hiyo Yesu akawaambia, "Wakati wangu haujafika bado; kwa maana ninyi wakati wowote unafaa. Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, lakini wanichukia mimi kwa sababu mimi nashuhudia kwamba matendo yake ni maovu. Ninyi nendeni kwenye sikukuu. mimi siendi bado kwenye Sikukuu hii, kwa sababu wakati wangu uliofaa haujafika bado.” Baada ya kusema hayo, alikaa Galilaya.
Hata hivyo, baada ya ndugu zake kuondoka kwenda kwenye Sikukuu, yeye pia alienda, si hadharani, bali kwa siri. ( Yohana 7:1-10 )
Ni Wakristo wangapi wamepuuza mstari huu? Maelezo ya chini kuhusu Yohana 7:8 yanasema
"Baadhi ya maandishi ya awali bado hayana". Neno ‘bado’ liliongezwa kwa maandishi ya baadaye ili kuficha uwongo huo.