Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

Endeleeni kuchinjana huko Pakistan, Afghanistan, Somalia, etc mkidhani mnamtumikia mungu!
Mbona umesahau Kongo, Ukraina na hapa petu tunavyoelekea uchaguzi?
 
Imani ni ileile
Mungu ni yuleyule
Lakini waamini wanagombana mpaka kuumizana na kuuana😭😭😭
Imani inapokuwa mzigo
 
So sad
 
Labda hao ni makafiri waprotestanti na wakatoliki ila wanajifanya waislam ili kuuchafua uislamu ambayo ndio dini ya mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema.
 
Religous stupidity
 
Waislamu hao wanachukiana kuliko hata Wayahudi na Wapalestina niliwahi kuwa nao karibu mmoja Sunni na mwingine Shiha daah aisee kwanza hawakai eneo moja la biashara mmoja akija mwingine anahama wale Shiha waliokua wanauza magari Durban wote wamekimbilia Gaborone baada ya Sunni kuvamia pale ni kama movie fulani hivi ila ndio ukweli..
 
M
Mumepata cha kusema. John akibaka mnasema kabaka John, Abdulrahman akibaka kabaka muislam. Mtakufa ni kiroho chenu cha moyo
My friend, if something bad that is associated with your religion happens you should just admit and condemn it instead of lodging senseless excuses aimed at defending your religion when it deserves condemnation.

The truth is that, believers of the Islamic religion have frequently been involved in terrorist acts while often defended by their fellow Muslims who see these terrorists as martyrs fighting for their religion and their god whom they refer to as allah. This is satanic.
 
#HABARI: Watu zaidi ya 80 wamepoteza maisha yao huko nchini Pakistan baada ya kutokea ghasia za kidini maeneo ya kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

Mamlaka ya Pakistani inasema kuwa wameafikiana kusitisha mapigano kwa siku saba, baada ya vifo hivo.

Ghasia hizo zilianza siku ya Alhamisi, wakati watu wenye silaha waliposhambulia misafara ya Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakisafiri katika eneo hilo chini ya ulinzi wa polisi.

Zaidi ya watu 40 walikufa katika tukio hilo, ambalo lilisababisha mashambulizi ya kulipiza kisasi.

Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni wamejihusisha katika mizozo ya kikabila na kimadhehebu kuhusu migogoro ya ardhi kwa miongo kadhaa.

Siku ya Jumapili afisa wa utawala wa eneo hilo aliiambia AFP: "Mapigano na mashambulizi ya msafara mnamo Novemba 21, 22, na 23 yamesababisha vifo vya watu 82 na majeruhi 156."

Akizungumza kwa sharti la kutotajwa majina, alisema kuwa watu 16 kati ya waliofariki ni Sunni na 66 ni wa jamii ya Shia.
 

Attachments

  • 1732523757428.jpg
    337.8 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…