Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

Ndugu zangu waislamu mnalisemeaje hili?
 
Labda hao ni makafiri waprotestanti na wakatoliki ila wanajifanya waislam ili kuuchafua uislamu ambayo ndio dini ya mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema.
kwani ukisema ni dini ya shetani utapungukiwa nini?
 
Inaonekana tatizo ni la kiuchumi. Umiliki wa ardhi ila inatumika dini kutatua matatizo ya kiuchumi.
Chuki ni ya kidini tu toka enzi, hiyo ya ardhi inachochea tu. Jiulize mnamuabudu Mungu mmoja na waislam wanaitana ndugu katika imani. Na Pakistan na Afghanistan shia na Sunni hawaoani wala kuchanganyikana. Sunni wanawaota Shia makafir.

Adui ya uislamu ni waislam wenyewe.
 
Mbwa kala mbwa
Hii dini muarabu alikosea sana kuibuni, angeacha dini alizokuta ziendelee.
Yesu alitabiri ujio wa Hawa wote, mitume na manabii wa uwongo, hivyo akina Malaria 2 brazaj shtukeni kabla hamjakwenda jehanamu
 
Asili ya hiyo dini ni vita na kupigana.
Kumbuka siku ya kwanza mtume wao kukutana na kile kiumbe pangoni.
Alikabwa na kutandikwa Barabara hadi akaugua homa.
Alipo ulizwa na Waraqa na mkewe hadija kwamba nini kimekusibu huko pangoni ?
Alijibu
"nahisi kuzugwa na mashetani"
Vita ndio ikaanzia hapo.
Katika miaka yake kumi ya mwanzo mtume alipigana vita 83. vita alivyo vianzisha yeye.
 
Mwamedi alikubraiwash sana.Wewe unajua utaenda kwenye dangulo la allah
Walikuwepo makafiri wakubwa sana kuliko kafiri wewe na walikuwa na matusi na kejeli. Lkn ilipowadia pumzi zao kuzimwa walijuta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…