Watu 80 wauawa Pakistan katika mapigano kati ya Sunni na Shia

Dictionary ya Shetani haina maneno AMANI; UPENDO. Faraka zote hizo ni kwa sababu hawakujengwa katika msingi wa maneno hayo.

(1) Amani yangu nawapa; amani yangu nawaachia.
(2) Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.
Hivi kuna anayeweza kuwa na mashaka na maneno hayo?
 
Mbona hata Mbowe na akina Sugu wamekamatwa na wale waliokuwa wakimsindikiza wakala mtama wa nguvu au hujasikia hata Mdude yuko taabani korokoroni
Hii ina uhusiano gani na matapeli kina Mbowe ?
 
Sasa ndo ujue hata mgogoro wa mashariki ya kati kati ya israel na irani sababu kubwa ni hii yaan irani wanataka waeneze misimamo yao hivo kizuiz ni isirael hata leo isirael akatoweka bado amani haitakuwepo wataendelea kuwafyeka waisiram wa sunn ili wabaki wenyewe
 
Ugomvi wa shia na sunni unasababishwaga na nini? Tofauti yao waga ni nini?
 

Njoo huku muone, ninyi mliokuwa mnasema uislam ni mmoja.
Kosugi Bwana Utam FaizaFoxy ITR Malaria 2
 

Unataka kusema nini kwa kutuambia story ya mwaka 12o4
 
Vita vya Dini vya Ulaya

Miaka: 1524–1648

Maelezo: Hizi zilikuwa vita kati ya Wakatoliki na Waprotestanti zilizotokea baada ya Matengenezo ya Kanisa ya Martin Luther mwaka 1517.

Wewe ni dhaifu sana katika kufikiri na kujenga hoja. Jana nika kuuliza kwa nini mnatumia lugha ya kiarabu kwenye ibada zenu. Wewe katika kujibu, ukasema mbona mtoto wako anasomeshwa shule kwa kiingereza huulizi. Na wewe ikajiona umejibu swali.

Na leo naona unajaribu kurudia jambo lile lile kama swala tano zenu.

The bottom line is, you think you are perfect, lkn sasa dunia inajionea wazi wazi makando makando yenu.
 
Kama haya maandiko yako kwenye "kitabu" then confirmed; hi dini SIO ya Mungu, dini hi ina uhusiano kabisa na alicho wahi kukiandika bwana mmoja anaitwa Salimin Rashidie. Wqzee wenzangu watamkumbuka, akindika kitabu kinaitwa "Aya za SHETANI"

Hivi huyu bwana bado yuko hai?
 
Nilifatilia imani aliyokua nayo Malcom X na waislam wenzie wa Nation of Islam(NOI), aisee ni ya ajabu sana sana.. hata sijui ni kwa namna gani walijinasibisha na uislam.

Kama ilivyo kwa wakristo kulivyo na utitiri wa manabii, huenda hata kwenye uislam kuna utitiri wa imani tofauti tofauti zinazojinasibisha na uislam, huend wanajiita Sunni au Shia ila mafundisho yao sio ya kisuuni wala kishia. Ni kwa vile wanavitu vichache vinavyofanana na uislam basi nao moja kwa moja wanajiita waislam ilhali hawafati Quran wala hadithi za Mtumr Mohammad (S.AW).

Dini kama Hindu, Ukristo na Uislam ni njema ila binadamu wamezinajisi mno, wamegeuza maandiko kwa matakwa yao ili kufurahisha na kukonga nyoyo zao, na ili kutawala kirahisi.
 
Biblia inasema ni Mungu wa vita in fact watu waliokataa kumuabudu Mungu basi Elia alitumwa kuwachinja same to Joshua naye alichinja canaan nzima kisa wanaabudu miungu.

Kuishi chini ya sheria kumepita.
Kilichobakia ni upendo pekee
 

Kuna kitu una kisahau kuwa kuna msamaha kwa wanaotubu kwa binafsi yote.
 
Hii dunia tunaiharibu wenyewe,dini ni moja Mungu ni mmoja mapanga yanatokea wapi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…