Hio siamini mkuu mbeya mbali bana we! Labda kama wanalazaga mshale 180kph safari nzimaHizi gari mwendo wake ni hatari. Nimeshapanda mara kadhaa kutoka dar kwenda mbeya. Mara ya mwisho nimepanda mwezi wa 9 tulitoka kibo saa 5 na nusu usiku saa 1 tupo uyole.
Angalia tu hyo ajali ndo utajua.Hio distance hapana yani saa 4 usiku ufike mbeya saa 12.30am? Hio gari inatembea speed gani ?
Inashangaza kwa sababu mtu hata uwe na speed kiasi gani huwezi toka dar to arusha bila masaa 5! Hapo brake ni za matuta tu full kibati lazma uta average kwenye 130KPHYaani hata MTU wa anayekwenda Arusha mmempita.nyie mmeshafika mbeya.[emoji16][emoji16][emoji16]
Saa tano usiku had saa moja asbh ni masaa 8..Hio siamini mkuu mbeya mbali bana we! Labda kama wanalazaga mshale 180kph safari nzima
Hio lazma umbwande😅Kuna mtu aliwahi kuandika hapa jf kuwa ukienda kuomba kazi ya udereva kwenye kampuni za magazet unapelekwa kuonyeshwa gar zilizopata ajali alaf unaambiwa hawa wenzako wote walishatangulia mbele ya haki je uko tayari uanze kazi?
Kumbe ndo alimaanisha hivi
[emoji23][emoji23][emoji23]Ila inabidi gazeti liuzwe 10000/- badala ya 1000/-
Kwa full throttle ya hiace ambayo ni160kph na brake brakes kwa mbali wanaweza average 130kph safari nzima basi! Wakicheza humu naweza kubali.Saa tano usiku had saa moja asbh ni masaa 8..
Dar mbeya ni kilomita 815...
Hapo baba avarage km 100 per hour inawezekana sema kuna pahala watakua wanafuta hadi 180km/hr kufidia sehemu za kona na milima
Title inasema "Watu 9 wafariki dunia katika ajali iliyohusisha Hiace inayopeleka Magazeti Mbeya" yawezekana walikuwa wanakwenda Mbeya wameomba lift ndani ya hiyo gari😳Ajali imetokea mahenge iringa na sio mbeya
Hizo ni ndegeInashangaza kwa sababu mtu hata uwe na speed kiasi gani huwezi toka dar to arusha bila masaa 5! Hapo brake ni za matuta tu full kibati lazma uta average kwenye 130KPH
Distance: 624.3km
Average Speed: 130Kph
Time. ?
Formula: Time =Distance/speed
Ans: 4.8hrs ~ 5hrs
Dar-Chuga on average speed of 130KPH takes 5hrs.
Wanunue Van za mjerumani zenye 260 KPH hizi hiace ni nyepesi sana yani!Unasema?!
Ukihisi kama umrpata ile brief moment ya kusinzia, park pembeni mzee😂.. Cz next stop itakuwa kuzimu!Ina maana Dar walitoka saa ngapi hawa jamaa? 😎
Nahisi hii ajali ni aidha dereva alisinzia tokana na uchovu! Kuna wakati mwili unakataa kabisa sema alijitahidi kufosi afike point ambayo hakuweza kuifikia.
Hahahahahah hio sijabahatika kupanda wakati chuma ndio inalia kuelekea Mbeya😅! Ila kwa hizi speed ina maana jamaa wanaweza peleka mzigo Dar-Moshi kwa masaa 5 tu! Yani wanatoka saa 6-11 wako mjini Moshi wanashusha.Mkuu hapo mbona wameendesha mwendo wa kistaarabu
Unaambiwa chombo kikiwa kinapeleka magazeti, ndio unaweza kuomba poo ata msitu wa mdaula wakushushe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa ndege kweli!Hizo ni ndege
Ule mwendo new force haoni kitu, kuna safari nilipanda unasali mwanzo mpaka mwisho . Masaa manne toka dar mpaka moshi, kumbuka tumetoka sinza saa nane alafu saa kumi na moja asubuhi tuko moshi.Bado kuna watu wanapanda hizo chinja chinja wakati siku hizi kuna new force ya usiku
Hahahahahah dereva hana habari anaipa Vidonge tu mpaka mshale ukatike😅 chuma ina vidonge 5 ila dereva anatamani kuongeza cha 6!Zile gar ni noma chuma inapigwa gia had ukifungua dirisha kidogo upepo ukiingia ngoma inakua kama inataka kupaa, inafika hatua had barabara unaiona nyembamba haitoshi kupishana ila muhuni yupo kishada moto bati
Ilikuwa mchana au usiku?Ile siku niliyotoka mbeya uyole saa 7 kwenda saa 8, alafu dar nafika saa 3 kasoro ndio ulikua mwanzo na mwisho kupanda huu usafiri
Mungu awape pumziko la amani
Hahahahahah saa 8 usiku dereva kakamata chombo af 11 mpo Moshi aisee huo mpera mpera wake sio poa! Chuma imenyooshwa kweli😅Ule mwendo new force haoni kitu, kuna safari nilipanda unasali mwanzo mpaka mwisho . Masaa manne toka dar mpaka moshi, kumbuka tumetoka sinza saa nane alafu saa kumi na moja asubuhi tuko moshi.