Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

huu ni ukweli mchungu. zama zimebadilika

vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuburudisha na kuchekesha watu..

huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
Kwahiyo kila mtu akiwa mchekashaji nani atakae chekeshwa?..........Elimu yetu haisaidii kutupa vijana ambao ni "critical thinkers" wengi copy and paste no creativity mchawi wa ajira hapa ni mfumo mbovu wa elimu
 
Kwahiyo kila mtu akiwa mchekashaji nani atakae chekeshwa?..........Elimu yetu haisaidie kutupa vijana ambao ni "critical thinkers" wengi copy and paste no creativity nchawi wa ajira hapa ni mfumo mbovu wa elimu

maudhui sio lazima kuchekesha tu.

kuna watu wanafundisha tu vitu na wanapata fursa za kupiga hela. mfano Fiona Nkya, Criss Mauki etc

kuna watu wana maudhui ya reality shows tu na wao wanapata hela mfano wale wapenzi Meet us
 
Hapo sasa kwenye maudhui ndipo elimu inapokuja kutuangusha content nyingi ni local zinashindwa kuvuka mipaka hasa kutokana na lugha
Joti angekuwa na elimu hasa ya lugha na sanaa angeiteka afrika kama comedian wa Nigeria
Elimu Elimu Elimu ni muhimu sna
Sure naona crazy kenan akifanya vizuri kutokana na lugha
 
Hapo sasa kwenye maudhui ndipo elimu inapokuja kutuangusha content nyingi ni local zinashindwa kuvuka mipaka hasa kutokana na lugha
Joti angekuwa na elimu hasa ya lugha na sanaa angeiteka afrika kama comedian wa Nigeria
Elimu Elimu Elimu ni muhimu sna
Hata wenye hiyo elimu kiingereza ni cha papatu papatu!
 
maudhui sio lazima kuchekesha tu.

kuna watu wanafundisha tu vitu na wanapata fursa za kupiga hela. mfano Fiona Nkya, Criss Mauki etc

kuna watu wana maudhui ya reality shows tu na wao wanapata hela mfano wale wapenzi Meet us
Hiyo creativity utaipata wapi kwa watanzania, vipindi vyao vya talkshow very poor. Comedy poor Film poor, music dupulicate ya mapiono na Nigerian Music... yaani kwa ukweli tuko very weak katika art industry, mimi naangalia camedy hata havichekeshi viko too obvious......
 
Ni kweli shida bongo lugha inatuangusha, hizi content za kiswahili wanaopata hela ni wachache sana,wengi wana njaa kali sana!
Mtu unapata idea ila ukiwaza habari ya lugha unajikuta unakuwa mpole!
Lugha mtihani sana we sikiliza mtz apewe assignment ya kuongea kingereza akimaliza salama wote mnapumua puuh!!!
We sikiliza watu wanaohoji kwenye michezo na hadi wanakosa kujiamini
Tukisema kingereza kianzia chekechea hadi chuo kikuu watu wanakuja na uzalendo wa 1960
 
Hao wanasiasa wameharibu sana nchi yetu,mwisho wa siku watoto wao wala hawasomi hizi shule za Kiswahili!
 
Back
Top Bottom