- Thread starter
- #61
Kama ni graduate kweli tena ana first class degree Bcom, ni mpuuzi mkubwa hiyo dispised Unemployement, hiyo kazi inaweza kufanywa na wakina Nyerere ambao hawana shule, ni sawa sawa kumuona medical sajioni anaendesha daladala na na inamlipa kama 8m kwa mwezi then umsifie kwamba ana akili na anapiga pesa.
Mwijaku hajasoma B com. Mwijaku amesoma digrii ya sanaa ya maigizo. Udsm
Mwijaku amesoma digrii yake kule creative arts mbele ya udbs.
Yale mavazi ya kimasai anayopenda kuyavaa alikuwa anayavaa toka chuo udsm kwenye events za department yao ya creative arts