Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations


Mwijaku hajasoma B com. Mwijaku amesoma digrii ya sanaa ya maigizo. Udsm

Mwijaku amesoma digrii yake kule creative arts mbele ya udbs.

Yale mavazi ya kimasai anayopenda kuyavaa alikuwa anayavaa toka chuo udsm kwenye events za department yao ya creative arts
 
Dr. Shika😅😅
Hata mandonga kapata umaarufu kwa vituko vyake lakini kwenye uhalisia bado sana kwenye ngumi.
 
Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika

Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu..

huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
Yaani kukata mauno,kucheza mayenu, twerking, ndio chanzo cha ajira! Bro!
Hizo content ziwe zimeenda shule,sio hizi za kudundishana jinsi ya kubinuana na kupigana pipe! Au, zile za kukopy kama story book,
Kuna vitu kiboa vya kufundisha,sayansi, kilimo, military history, geopolitcal issues, sio upuuzi, wa kutikisa makalio
 
Kabisa platform za Ajira zipo nyingi na zinatoka ajira kila siku sema watu hawatafuti izo platform.eg Linkeid,mabumbe,whatsa group ila mtu anataka ile ya kupachikwa ndo tunapigiwa hapo.

Tufatilie hayo mamb ya kidunia ila usiyape focus kubwa kuliko maisha yako hasa girl graduate yeye ni umbea tu wa insta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…