Jee mkuu umewahi kupata nafasi ya uongozi katika chama cha siasa?
Chama chochote kile chenye discipline ya kichama, baada ya kuamua chama kinataka nini, ukiisha kumpa Mbowe uenyeviti, yeye ndio atakuwa mbeba maono wa chama. Na sio kuwa viongozi wote wengine wa Chadema ni wajinga.
Bendera akipewa Trump wengine sio wajinga ila ndio mifumo ya vyama vya siasa vyenye disciplines vilivyo.
CCM hawana tofauti na vyama vingine duniani, na hii ni mfumo wa vyama vya siasa disciplined duniani. Kwa kina Mwigulu wapo wengi tuu, CCM, CUF, CHADEMA,labour party, Republican, Democrats, na ANC. nk
Na Chama unacho kiamini wewe kikikosa that party discipline, basi ni mkusanyiko wa wajinga na mnaulazimisha kuitwa Chama.
Sent using
Jamii Forums mobile app