Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Wadhaifu wako wengi Sana katika nchi hii , wafanyakazi wote ni dhaifu, wachache tu ndo sio dhaifu, wanaogopa siku ukipita upinzani mfumo wa utawala unaweza badilika na wakashindwa kukuza matumbo yao. Na wanatishwa kuwa msichague upinzani watabadili mfumo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app