Watu dhaifu ni hatari sana, wanakuwa hatari zaidi wanapopata fursa za uongozi

Wanajeshi wao ni wanufaika sawa na sanga, nkamia, Kessy,pinda,katambi,musiba, mwigulu,masanja,lugola hofu akiingia mwingine wataishije?
Kwa uwingi wa wengi tuliokuwa tunajuwa wanaweza kukaza, inanipa shaka sana kama majasiri wapo wengi.

Yawezekana hata hao tunaosema leo ni majasiri yawezekana mchongo haujawapitia, itakapo tokea umepita tusishangae kima Mr. Slow slow wakaongezeka idadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa chini hawana nguvu uhaini utawahusu mabosi zao ni wanufaika
 
😂😂😂 umenikumbusha profesa majalala. Da kweli hizi njaaa sio nzuri kabisa.
 
Ukiwasilishwa na viumbe wenye majina kama haya, mfano tu ... taletale .... ujue unaishi kwenye nchi hii where the GODS are not merely CRAZY but certified to citizenship in cuckoo land. Kukumbatia UJINGA in the case ya mega ignoramus mithili ya TRUMP ni pamoja na hii:

. “The collateral damage, when you keep unleashing lies, sow the wind of tribalism and pour that poison into the veins of people, is the system becomes so septic that violence spews out of it.”

Sooner or later. Watch this space
 
Hofu akiingia mwingine watakufa njaa.Hawana maarifa ya kuishi nje ya kupewa
Kweli nakubali. Ukiwasikiliza uko bungeni wanakwambia vijana mtani wajiajiri wakati wao wenyewe wameajiriwa na hawana uwakika kama ajira itakuwa ya kudumj. Senzi sanaaaaaaa
 
Ukiwasilishwa na viumbe wenye majina kama haya, mfano tu ... taletale .... ujue unaishi kwenye nchi hii where the GODS are not merely CRAZY but certified to citizenship in cuckoo land. Kukumbatia UJINGA in the case ya mega ignoramus mithili ya TRUMP ni pamoja na hii:

. “The collateral damage, when you keep unleashing lies, sow the wind of tribalism and pour that poison into the veins of people, is the system becomes so septic that violence spews out of it.”

Sooner or later. Watch this space
Furthermore, members of political oposition and civil societies must play their part in building model citizens that can make useful contributions to national unity, growth and values of integrity.

Compassion for the fellow man, accountability, honesty and diligence should be core elements of teaching and instruction in all aspects to all opposition political parties and civil societies.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam, wana bodi !

Niende moja kwa moja kwenye mada. Nayo inahusu watu dhaifu. Watu dhaifu ni watu hatari sana. Wakiwa wanasiasa wanakuwa hatari zaidi. Ni waoga wa mabadiliko. Waangalie wale wote waliobeba agenda ya mitano tena. Karibu wote ni dhaifu kisiasa na kijamii. Wanaposema mitano tena wanasukumwa na ubinafsi na kuogopa kuwa akija kiongozi mwingine watabaki na ulaji wao kweli??

Ukimtazama yule Mbunge wa Makambako utagundua haya ninayosema. Kwanza yule hata darasa la Saba hajafika, anawaza kwamba hivi akija kiongozi mwingine atakubali kumwacha aendelee kugombea ubunge na elimu yake duni ilihali ndani ya chama kuna wasomi wazuri tu? Kwa hiyo dawa ni kujifanya anampenda Rais na kutaka aendelee milele. Ni udhaifu wake ndio uliomfikisha hapo.

Mwigulu Nchemba ni msomi dhaifu. Ni kiongozi dhaifu hata kuliko watu ambao hawajasoma. Amefikia hatua anauliza watu wanadai KATIBA, KATIBA ya nini wakati Maguli anatosha? Unajua kwanini? Amejua mapungufu ya mtukufu bosi wake kwa hiyo yupo tayari kuweka pembeni elimu yake yote ilimradi anapata mkate wa kila siku na kulinda maslahi yake kisiasa. Ni mtu dhaifu siyo mtu wa principles.

Kuna yule sijui Kessy, Mbunge Wa zamani wa Nkasi. Wajumbe walimchinjia baharini baada ya kuona amebeba agenda mfu. Nkamia naye wajumbe waliona dawa inayomfaa ni kumchinjia baharini. Ametulia !

Ninachotaka kusema ni kwamba watu dhaifu popote pale ni hatari. Wanakuwa hatari zaidi wanapokuwa wanasiasa. Mara nyingi hawana aibu. Ni wajinga wa milele. Kwao wao ustawi wa Nchi siyo kitu cha maana kuliko mafanikio yao binafsi. Hawabebi agenda za Nchi. Hawaangalii ajira kwa vijana, Utawala bora, Taswira ya Nchi Duniani n.k.

Kuna mjinga moja bila aibu aliutangazia ulimwengu kuwa ati watanzania sisi tunatamani kuona Chato ina kuwa kama Singapore!!! Kweli? Watu dhaifu wakimzunguka Rais ni hatari sana. Watu dhaifu nadra sana kutumia akili, mara nyingi huenenda na alama za nyakati au huangalia upepo unavuma kuelekea wapi. Hao ni watu dhaifu.
Umesema ukweli mtupu. Na ndiyo maana uchaguzi ulipinduliwa ili wabunge dhaifu wapite kwa wingi. Magufuli anawapenda sana.
 
Hii inaitwa cynicism
Sasa we unafikiri mtaani kuzuri jamaa, hata mie ningecheza CD ilioko redioni kwa sasa.

Huo ushujaa ambao hautakusaidia ni bora kuuweka pembeni kwa muda ili umalize muhula wako vizuri. VX V8 kila unapoenda shughulini mwako, kodi ya nyumba, ada zinalipwa bila shida na heshima pia ambayo mtu unakuwa nayo katika wadhifa uliopewa.

Ubaya ni kwamba nyie ambao mnasakama kuwa watu ni dhaifu pia mgefanya hayo hayo ambayo wanayafanya walioko katika nafasi za kisiasa. We una hakika ungeweza kuleta ujuaji ufukuzwe kitengo na kukabidhi ofisi kwa fedhea kubwa?

Ukaanze kula msoto si utaonekana chizi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kweli nakubali. Ukiwasikiliza uko bungeni wanakwambia vijana mtani wajiajiri wakati wao wenyewe wameajiriwa na hawana uwakika kama ajira itakuwa ya kudumj. Senzi sanaaaaaaa
Wabunge wa tume hawana uhakika wa kushinda kwa kura njia pekee ni kuondoa ukomo
 
Naam, wana bodi !

Niende moja kwa moja kwenye mada. Nayo inahusu watu dhaifu. Watu dhaifu ni watu hatari sana. Wakiwa wanasiasa wanakuwa hatari zaidi. Ni waoga wa mabadiliko. Waangalie wale wote waliobeba agenda ya mitano tena. Karibu wote ni dhaifu kisiasa na kijamii. Wanaposema mitano tena wanasukumwa na ubinafsi na kuogopa kuwa akija kiongozi mwingine watabaki na ulaji wao kweli??

Ukimtazama yule Mbunge wa Makambako utagundua haya ninayosema. Kwanza yule hata darasa la Saba hajafika, anawaza kwamba hivi akija kiongozi mwingine atakubali kumwacha aendelee kugombea ubunge na elimu yake duni ilihali ndani ya chama kuna wasomi wazuri tu? Kwa hiyo dawa ni kujifanya anampenda Rais na kutaka aendelee milele. Ni udhaifu wake ndio uliomfikisha hapo.

Mwigulu Nchemba ni msomi dhaifu. Ni kiongozi dhaifu hata kuliko watu ambao hawajasoma. Amefikia hatua anauliza watu wanadai KATIBA, KATIBA ya nini wakati Maguli anatosha? Unajua kwanini? Amejua mapungufu ya mtukufu bosi wake kwa hiyo yupo tayari kuweka pembeni elimu yake yote ilimradi anapata mkate wa kila siku na kulinda maslahi yake kisiasa. Ni mtu dhaifu siyo mtu wa principles.

Kuna yule sijui Kessy, Mbunge Wa zamani wa Nkasi. Wajumbe walimchinjia baharini baada ya kuona amebeba agenda mfu. Nkamia naye wajumbe waliona dawa inayomfaa ni kumchinjia baharini. Ametulia !

Ninachotaka kusema ni kwamba watu dhaifu popote pale ni hatari. Wanakuwa hatari zaidi wanapokuwa wanasiasa. Mara nyingi hawana aibu. Ni wajinga wa milele. Kwao wao ustawi wa Nchi siyo kitu cha maana kuliko mafanikio yao binafsi. Hawabebi agenda za Nchi. Hawaangalii ajira kwa vijana, Utawala bora, Taswira ya Nchi Duniani n.k.

Kuna mjinga moja bila aibu aliutangazia ulimwengu kuwa ati watanzania sisi tunatamani kuona Chato ina kuwa kama Singapore!!! Kweli? Watu dhaifu wakimzunguka Rais ni hatari sana. Watu dhaifu nadra sana kutumia akili, mara nyingi huenenda na alama za nyakati au huangalia upepo unavuma kuelekea wapi. Hao ni watu dhaifu.
Naunga mkono hoja yako.
Dar es Salaam yenyewe haijawa kama Johannesburg, itakuwaje kama Singapore?
 
Watu dhaifu(inadequate) wana sifa ya kujiona wanajua sana kuliko wengine.

Ila tatizo la watanzania na viongozi wetu ni kuwa kwenye ile ngazi ya mahitaji ya Maslow wengi hawajavuka hatua ya kwanza yaani kupata mahitaji mtambuka kama chakula, nyumba n.k.

Viongozi ambao bado wanafikiria shibe hawawezi kuwa wabeba maono ya maendeleo ya nchi.
 
Hivi unaujua muungurumo wa Vii eiteee wewe??? Lile dude unapewa na dereee....linapaki hapo nje linaungurumaa bha bhabhaaa...halafu linajipoooza lenyewe..we acha bana Viii EITEE ni habari nyingine..
 
watanzania wote uwezo wetu wa akili ni mdogo sana ukichunguza vyema hatuna akili kabisa tena viongozi ndo wapumbavu daraja la kwanza waziri unadharishwa w.mkuu unatukaniwa ndugu na jamaa ila upo tu kisa ugali huna cha kufanya

mbunge/waziri unatukanwa alafu unaomba msamaha wewe kisa ugali

hata mimi hapa nasema tu nikipewa teuzi naanza imba mapambio kwa kuogopa kifukuzwa

watanzania hatuji kuendelea kamwe kwa maana ya kuwa na akili ndogo na unafiki.
 
Hahahaha hizi sio zama za kutumia akili yako ukipewa wadhifa. Tumia akili uondolewe uanze kupigika na mtaa na mali zako zipigwe pini 😂😂😂!!!

Walikuwepo mashujaa akina Sumaye ila walirudisha majeshi nyuma 😁 na kurudi kundini! Uhangaike miaka yote uzeeke umenyang'anywa vitu ulivyovitolea jasho kisa uonekane shujaa!?
 
Back
Top Bottom