Watu dhaifu ni hatari sana, wanakuwa hatari zaidi wanapopata fursa za uongozi

Unataka wanajeshi waingie utafikiri wata compromise na matakwa ya raia, kiongozi wa kijeshi ataongoza nchi kama taasisi ya jeshi, yaani ni amri mbele. Halafu inaweza kuleta instability ya muda mrefu, mfano kupinduana kwa hapa na pale.....kule Nigeria hawajawahi kuondoka kwenye nafasi za juu za uongozi wa nchi na hata yanayoendelea kule Myannmar kila mtu anajua...
 
Kwangu mimi ni bora iwe hivyo kuliko hapa tulipo fika. Kura za wana Nchi haziheshimiwi hata kidogo. Nusu ya wabunge waliopo Bungeni hivi sasa hawakuchaguliwa na wapiga kura. Ni bora jeshi lichukue Nchi ili tujipange kuheshimu KATIBA na matakwa ya wana Nchi.
 
Inawezekana na wao wapo kwenye mlo, kule Myannmar inawezekana hawakushirikishwa vizuri kwenye msosi ndo maana wamepindua..
 
Jee mkuu umewahi kupata nafasi ya uongozi katika chama cha siasa?

Chama chochote kile chenye discipline ya kichama, baada ya kuamua chama kinataka nini, ukiisha kumpa Mbowe uenyekiti, yeye ndio atakuwa mbeba maono wa chama. Na sio kuwa viongozi wote wengine waliobaki wa Chadema ni wajinga.

Bendera akipewa Trump wengine sio wajinga ila ndio mifumo ya vyama vya siasa vyenye disciplines vilivyo.

CCM hawana tofauti na vyama vingine duniani, na hii ni mfumo wa vyama vya siasa disciplined duniani. Kwa kina Mwigulu wapo wengi tuu, ndani ya CCM, CUF, CHADEMA,labour party, Republican, Democrats, na ANC. nk

Na Chama unacho kiamini wewe kikikosa that party discipline, basi ni mkusanyiko wa wajinga na mnaulazimisha kuitwa Chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechanganya mambo! Kuna chama upande mmoja na KATIBA ya Nchi upande mwingine. Chama chenye wajinga wengi kinahatarisha uwepo wake chenyewe. Watu hupenda vyama makini. Wanacho fanya CCM ni kuchezea KATIBA. Wanajua hata wakiitisha kura za maoni wataiba tu. CCM almost imekufa. Kinalindwa na polisi , takukukuru na hao wanao jiita usalama wa Taifa.
 
Kuhusu wanachukua ngapi ? usifanye mizaha ya kitoto, salary slip ukichukua na travelling allowances, na allowances zote inasoma 32- 45 kwa mwezi, sio mchezo. Ukisoma salary slip unaweza u kupata taabu ya kichwa.

MABILIKO YA KATIBA MUHIMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana wangu JERUSALEMU, tambua kuwa siku zote, Udikiteta uzaa hofu, na hofu uzaa uoga na uoga uzaa kujipendekeza. Hiyo ndiyo kanuni ya maisha. Ni wachache sana watu jasiri wanao yasimamia wanayo yaamini.
 
Usifanye mizaha ya kidogo, salary slip ukichkua na travelling allowance, na allowances zote inasoma 32- 45 kwa mwezi, sio mchezo. Ukisoma salary slip unaweza u kupata taabu ya kichwa.

MABILIKO YA KATIBA MUHIMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kuwa mkweli tu, awamu hii ya jiwe kama huna maghorofa kariakoo hio biashara ya kukupa 30M kila mwezi bila stress za ajabu ni biashara ipi?

Kama ipi unadhani huoa mtaji wake utakuwa bei gani?
 
Shida kubwa ni mambo mawili, katiba na mifumo yetu ya kiutawala.
 
Kwa asilimia kubwa watu wanao zungumza maneno kama yako utakuta ndiyo dhaifu kupita kiasi,unamsema mbunge ambaye hana shule kwamba ni dhaifu ilihali walio feli wote ndiyo walio faulu maisha na walio faulu shuleni ndiyo walioishia umasikini..we unaita watu dhaifu, myambafu
 
Unaona? Nani kakuambia waliofeli shule WOTE wanaya muda maisha? Umefanya utafiti wapi? Darasa la 7B wengi hutumia matusi badala ya kujibu hoja kwa hoja kwasababu ni dhaifu.
 
Nina imani zaid8 ya nusu ya wabunge wa CCM, walipewa kura ambazo hawakupata.
 
Jeshi lipi hilo la kuchukua nchi! Labda lile la wale vijana walioanza kujinyonga baada ya kuanza kupigika mtaani.
 
Hili povu siyo la bure!! Relax Mheshimiwa. Na ukubali tu Wabunge wengi wenye hiyo Elimu pale Bungeni wamejawa tu na mipasho, vijembe, unafiki na kujikomba komba. Hawajawahi kujiamini mbele ya watu walio wazidi elimu.
 
... YAANI ...
πŸ‘Š πŸ˜…βœŒοΈπŸ’₯
 
CCM ni maiti inayotembea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…