Watu dhaifu ni hatari sana, wanakuwa hatari zaidi wanapopata fursa za uongozi

Umesahau ile takataka ya Mtera na ile nyingine ya Geita
 
Anaesema Mwalimu kufundisha masomo matano nae ni dhaifu au Mwalimu ndiyo atakuwa dhaifu kwa kutengeneza elimu dhaifu, kwa kifupi udhaifu ni ugonjwa wa mTz,
 
Tusilolijua ni kwamba, kutafuta madhaifu ya watu ni njia nzuri ya kuimarisha udhaifu wako.
 
Nyerere alisha sema maadui wa hii nchi ni:
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
Huyu namba 3 ndo hatari yani analeta udhaifu kila kona. Ndomana kila anae pewa nafasi kutumikia hii nchi lazima awe mdhaifu na mlafi mana ukizingatia viongozi wengi wametoka familia maskini wanatamani kupata hata stare kidogo huku wanasahau kwamba wanakula pesa za wananchi na wanatakiwa kutumikia hii nchi.
 
Hofu akiingia mwingine watakufa njaa.Hawana maarifa ya kuishi nje ya kupewa
 

Attachments

  • FB_IMG_1612431534245.jpg
    36.6 KB · Views: 1
Thus huyu Bwana alikuja na falsafa ya kuwafanya watz wawe masikin Ili awatawale kwa kuwasomesha namba Ili KILA mwenye njaa aikimbie kwa kumuabudu ndo tunapata watu sampuli hizi takataka tumbo.
 
Bora kuwa mkweli tu, awamu hii ya jiwe kama huna maghorofa kariakoo hio biashara ya kukupa 30M kila mwezi bila stress za ajabu ni biashara ipi?

Kama ipi unadhani huoa mtaji wake utakuwa bei gani?
LΓ‘ a yani wewe uko muwazi kama jirani yangu. Tulikuwa tukimzungumzia kubadilika ki mtazamo Mr slow slow, tukagundua ni haki yake.

Night out allowance na travelling allowance, night moja ni 1.3 M akisafiti siku 20 kwa mwezi, kuongezea na allowances zote , na mkoba wa entertainment allowance 10M. Jumla 37 M, lazima kelele ziwe nyingi tuu.

Miaka kumi tayari kutengeneza maisha na heshima tele nyumbani. Sisi wa kuzomea tuendelee tuu hawezi kujali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kujipendekeza kwa mtawala, wameshajua wakipita kwake huku wakijichekesha chekesha wanapewa teuzi, na kuongea pumba pia ni sifa nyingine ya ziada inayawapa teuzi toka kwa mtawala.
Ukisujudia nami nitakupa milki na fahari zote za duniani we anguka tu na usujudu.76% ya teuzi zimelenga mlemle
 
Mkuu hiyo avatar inakusaliti
 
Baba acha tu, yani hamna namna ni kujiunga na Praise and worship team tu 😁😁😁 kulinda maslahi ya ugali wako. Camera zikikutembelea wewe ni kumwaga u spoon tu kwa mzee wa Chattle!

Ikibidi unakandamizia mi naona aongezewe mitano ya nyongeza mambo ni mengi ya kukamilisha. Bado tunamhitaji kiongozi imara kama huyu!
 
Jeshi lipi hili linalobangulishwa korosho,mabosi zao ndio wanufaika wakubwa we hata ufe kwa njaa maadamu wao hushiba,hulka ya mwafrika aangalii Jamii bali tumbo lake.
Afrika udikteta sio tatizo tatizo ni wanufaika walionyuma ya dikteta je akiingia mwingine watakula wapi? Ingekuwa si wanufaika kitambo Sana ndoto yako ingeshatimia,shida akiingia mwingine wataishije?
 
Flashback tumeshuhudia watendaji Kama mahakimu,mapolisi,ma DC,rc wakiwatendea wapinzani ukatili Mkubwa sana na wakalipwa teuzi mifano hii hai mingi.Falsafa za kikomunisti wafanye watu wawe masikini ili uwatawale.Ili uepuke njaa ni kuomba camera zikutembelee mifano hai ni mingi.
 
Wafanye wawe masikini ili uwatawale principal
 
Let them poor to rude them hii ni falsafa ya kikomunisti KILA asiye na chapa na kugoma kuisujudia Sanamu ni lzm atashughulikiwa,
 
Wanajeshi wao ni wanufaika sawa na sanga, nkamia, Kessy,pinda,katambi,musiba, mwigulu,masanja,lugola hofu akiingia mwingine wataishije?
 
Jamani mbona mnamuhandama mwigulu aka Lameck Madelu jamaa siku hizi anajiuna mjanja huku alikuwa bonge la mshamba.
Alikuwa mshamba au ni mshamba mpaka leo ila anajiona tu ni mjanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…