Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Nimekupenda bure ee, yaani humumg'unyi maneno. Nyeupe unaipa jina sawia kuwa ni nyeupe. Walalamishi wengi humu JF yawezekana tunadhani ni mashujaa , kumbe hamna kitu ila hawajapata nafasi tuu.Hahahaha hizi sio zama za kutumia akili yako ukipewa wadhifa. Tumia akili uondolewe uanze kupigika na mtaa na mali zako zipigwe pini [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Walikuwepo mashujaa akina Sumaye ila walirudisha majeshi nyuma [emoji16] na kurudi kundini! Uhangaike miaka yote uzeeke umenyang'anywa vitu ulivyovitolea jasho kisa uonekane shujaa!?
Eeh mkuu yani wabongo kuambiana ukweli ni ngumu sana ila mie huwa sikopeshi. Uhalisia ndio huo, ni kwamba wanaolalamika hawajapata chance tu ila lasivyo ndio wangekuwa wale wale tu.Nimekupenda bure ee, yaani humumg'unyi maneno. Nyeupe unaipa jina sawia kuwa ni nyeupe. Walalamishi wengi humu JF yawezekana tunadhani ni mashujaa , kumbe hamna kitu ila hawajapata nafasi tuu.
Lakini Pole pole kageuka ama ndio alivyo ?, akiondoka Mkulu anarudi kule kule? Au kwa kuwa cChakula mdomoni hawezi kunena maneno. Kikiondoka anakuwa Pole Pole yule yule ?.Eeh mkuu yani wabongo kuambiana ukweli ni ngumu sana ila mie huwa sikopeshi. Uhalisia ndio huo, ni kwamba wanaolalamika hawajapata chance tu ila lasivyo ndio wangekuwa wale wale tu.
Wengi maslahi yakikata akili hurudi😂Lakini Pole pole kageuka ama ndio alivyo ?, akiondoka Mkulu anarudi kule kule? Au kwa kuwa cChakula mdomoni hawezi kunena maneno. Kikiondoka anakuwa Pole Pole yule yule ?.
Niliposoma kichwa cha mada yako, sikuwafikiria hao wote uliowataja kwa udhaifu wao. Nilimfikiria mtu mmoja tu ambaye hukumtaja kuwa ni "dhaifu."Mwigulu Nchemba ni msomi dhaifu. Ni kiongozi dhaifu hata kuliko watu ambao hawajasoma. Amefikia hatua anauliza watu wanadai KATIBA, KATIBA ya nini wakati Magufuli anatosha?