Kulia anakaa Gal Gadot, kati nakaa mwenyewe kushoto Emilia Clarke.
Ndio Sanchoka huyo?
JPM tuu.Tatu zote ni za JPM
😁😁Hakuna mkuu labda wazazi wangu
kuweka picha ya bobmarley kwa nyumba?
hapana kwa kweli😅
Kutokana na nafasi zao na michango yao katika jamii, mimi bila kupoteza muda picha za Bob Marley, Patrice Lumumba na Nelson Mandela zipo ukutani nyumbani kwangu. Hao watu ni vielelezo vya wanaharakati waliojitoa kwa ajili ya kupambania haki za wengine hasa mtu mweusi.
Je, kwa upande wako ni watu gani watatu mashuhuri unaweza ukabandika picha zao nyumbani kwako?
View attachment 2221681
Hapana....huyu yupo sub...nikimchoka sanchoka anafata huyoNdio Sanchoka huyo?