Zamani ilikua kawaida wakati wa likizo ndgu kubadilishana watoto, likizo hii wataenda huku na likizo hii wataenda kule.
Tukiwa shule ilikua ni mwendo wa kuulizana likizo hii wewe baba/mama/babu/bibi yako amekwambia utaenda wapi, huyu iringa yule mwanza, huyu mbeya mwigine dar nk.
Lakini sasa hivi familia unayoishi nayo ndio ndgu zako hao.