Watu hawataki kutembeleana siku hizi, kila mmoja yuko bize kusaka shilingi

Ratiba tu zimebadilika,hizi sio enzi za kutoka shamba saa7 mchana na kurudi kukaa kivulini kuvuta kiko, mtu utamkuta nyumbani saa ngapi? Ni kawaida tu hata wewe kuna muda huwezi onana na mtu
Kwa hiyo si bora turudi kwenye ile mifumo ya ufugaji na ukulima, kuliko kuishi kwenye hii mifumo ya kusaka hela na kwenda kununua bidhaa sokoni, inayopelekea kubadili mfumo wetu wamaisha ya asili?
 
Mambo ni mengi ndiyo,lakini tutembeleane,watu hawawatembelei hadi wagonjwa mahospitalini,wafungwa magereza I,jamani tuwe tunatembeleana.Hii inawapa mawazo sana ndugu na jamaa wagonjwa, au walioko gerezani kwa makosa pengine ya kusingiziwa.
 
Hii inaweza kuwa sababu, ingawa naona muda mwingi wanakuwa wako bize, walioajiriwa sio jumatatu wala jumamosi, wako bize tu.
Sasa utoke mbagala hadi tegeta kwa foleni hizi , mikoani si sawa na kutoka wilaya moja kwenda nyingine.
Foleni ula sana mda kwa watu wa dar
Mfano toka tegeta hadi mbagala au buza anaetoka Mwanza Dar kwa ndege anawahi fika
 
Mambo ni mengi ndiyo,lakini tutembeleane,watu hawawatembelei hadi wagonjwa mahospitalini,wafungwa magereza I,jamani tuwe tunatembeleana.Hii inawapa mawazo sana ndugu na jamaa wagonjwa, au walioko gerezani kwa makosa pengine ya kusingiziwa.
Ukiwa na raha yaan pesa mjini utatembelewa hadi uchoke mwenyew
 
Mambo ni mengi ndiyo,lakini tutembeleane,watu hawawatembelei hadi wagonjwa mahospitalini,wafungwa magereza I,jamani tuwe tunatembeleana.Hii inawapa mawazo sana ndugu na jamaa wagonjwa, au walioko gerezani kwa makosa pengine ya kusingiziwa.
Umuhimu wa kutembeleana ni mkubwa sana, ndio maana ata nchi na nchi huwa zinatembeleana ili kuweka mambo sawa, achilia mbali teknolojia iliyopo ambayo mnaweza kufanya 'conference' kila mtu akiwa kwake.
Tupatapo changamoto iwe ugonjwa, kufiwa, kuwa gerezani n.k ndipo mazingira yanatuonyesha umuhimu wa kutembeleana na kuwa na umoja.​
 
Sasa utoke mbagala hadi tegeta kwa foleni hizi , mikoani si sawa na kutoka wilaya moja kwenda nyingine.
Foleni ula sana mda kwa watu wa dar
Mfano toka tegeta hadi mbagala au buza anaetoka Mwanza Dar kwa ndege anawahi fika
Mara ya mwisho kumtembelea jirani yako ilikuwa lini.
 
Back
Top Bottom