Watu hawataki kutembeleana siku hizi, kila mmoja yuko bize kusaka shilingi

Watu hawataki kutembeleana siku hizi, kila mmoja yuko bize kusaka shilingi

Mi binafsi nilishaachaga kutembelea watu unless kuna tukio.

1.Kuna mgonjwa
2.Msiba
3.Sherehe(hadi waniarike)
4Mtu kajifungua mtoto.

Otherwise Niko bize na maisha yangu vibaya sana.
Na wao watakuja kukutembelea ukipatwa na hayo matatizo; je ndivyo maisha yanatakiwa kuwa?
 
Ukikua ndo utajua kuwa kwanini kwenye familia yenu kuna yule ndugu ambae hana muda na wanafamilia mimi bhn kuna ndugu zangu wengi tuko mbali mbali ila kuna huyu mjomba mjomba huyu bora tungekuwa mikoa tofauti ila tuko wilaya moja but tangu 2021 kwenye msiba sijawah hata kukutana nae kwa bahat mbaya
 
Hawazalishi chochote, kwa hiyo ili apate hela ya kununua mihogo inabidi aangalie ni nini cha kuuza
Siku hizi mbunye zinapatika 24hr ni ww na hela yako.

Kuna mwanangu mmoja dalali yeye time ya kutongoza hana kuna dada mmoja wa Arusha,tunakaa nae kitaa jamaa akiwa na elfu 10 anajipigia kwenye room ya demu.

Yaani yy kununua ni sehemu ya maisha yake.
 
Ukikua ndo utajua kuwa kwanini kwenye familia yenu kuna yule ndugu ambae hana muda na wanafamilia mimi bhn kuna ndugu zangu wengi tuko mbali mbali ila kuna huyu mjomba mjomba huyu bora tungekuwa mikoa tofauti ila tuko wilaya moja but tangu 2021 kwenye msiba sijawah hata kukutana nae kwa bahat mbaya
Inasikitisha sana
 
Siku hizi mbunye zinapatika 24hr ni ww na hela yako.

Kuna mwanangu mmoja dalali yeye time ya kutongoza hana kuna dada mmoja wa Arusha,tunakaa nae kitaa jamaa akiwa na elfu 10 anajipigia kwenye room ya demu.

Yaani yy kununua ni sehemu ya maisha yake.
Na wanaouza wanasema wako kazini, shamba lao ni miili yao 😂
 
Maisha magumu....

Jumatatu mpaka Ijumaa, Unakaa Kibamba, ofisi Bandari. Unatoka home saa 11.30 alfajiri, unarudi nyumbani saa 3.30usiku;

Jumamosi ndio ufanye mambo yako kidogo, Jumapili upo kanisani mpaka saa 11 jioni. Huo muda wa kutembelea ndugu anakaa Chanika unatoa wapi?
 
Ni tatizo, kwa hiyo ndio tumeamua tuishi kwa mateso hayo, je mwisho wake ni lini?
 
Mzee akanijibu, samahani sana mambo yameingiliana, ndio najiandaa hapa kuelekea kwenye biashara yangu, kukagua mapato.
kiongozi mbona ujiongezi? mbona iyo ishu ndogo tu apo.

uyo jamaaako alishakuona hauna tija (yani mtu wa janjajanja na porojo nyngi za kusadikika za km wale jamaa wanaoshinda kutwa kwa mshona viatu🤣🤣).

yule bakhesa akienda sehem hao marafik ndo wanamtafuta yy, sio yy aanze kuwatafuta!.

punguza makasiriko tafuta maokoto.

na huu uzi ufungwe.
 
Tunawasiliana kwenye magrupu ya WhatsApp. Kama umetoka mvi unajiposti watu tunakuona tunakomenti umezeeka maisha yanasonga.

Ukiumwa tunaanzisha mkeka tunakuchangia hata ukitaka kwenda India unaenda.

Kutembeleana ilikuwa enzi za Mwalimu
 
Na wanaouza wanasema wako kazini, shamba lao ni miili yao 😂
Kuna kipindi nipo Karatu kikazi, hapo nimetoka zangu Mbulu nikafika kituoni dereva wa bodaboda akanichukua, nikamwambia anipeleke Lodge nzuri, so nikawa na mtumia kwenye mizunguko yangu.

Sasa nikawa na mzingua, nikamwambia nikitaka demu nigonge na mpataje akaniambia mbona easy, akanionyesha picha nikamwambia hawaja nivutia.Akaniambia basi kuna wake za watu kama nipo tayari aniletee, daah nilichoka. Nikawambia vip ww huogopi kuwa dalali wa wake za watu.

Akaniambia ni kawaida na kishafanya sana,nilichoka yaani jamaa anaongea hana wasiwasi kabisa. Yaani siku hizi kuna wanawake wanajiuza nje ya ndoa zao.
 
Tunawasiliana kwenye magrupu ya WhatsApp. Kama umetoka mvi unajiposti watu tunakuona tunakomenti umezeeka maisha yanasonga.

Ukiumwa tunaanzisha mkeka tunakuchangia hata ukitaka kwenda India unaenda.

Kutembeleana ilikuwa enzi za Mwalimu
Hii si sawa na kuabudu hela kuliko utu?
 
Back
Top Bottom