Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mishahara iongezwe na ajira ziongezeke. Sikuhizi kazi watu wanafanyishwa kazi hadi Jumamosi nikiwamo mimi binafsi. Mapumziko yanakuwa Jpili tu.Na hili ndilo tatizo kubwa; Unafikiri ni nini kifanyike ili ile hali ya watu kuishi kiutu na kutembeleana iweze kurudi?
Huo muda wa JPili huwezi acha kulala ukamtembelee mtu. Ni ngumu aheri zamani ilikuwa inaeleweka jmosi ni mapumziko na Jpili ni visiting day kwa ndugu jamaa na marafiki.