Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Indeed!Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Ooh jam
an lauryn hill kumbe Hana, na Michael Jordan PIA so sad
Acha urongoHastings Kamuzu Banda alkua na watoto 3....no research no right 2 speak!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahaaa jmn
Kwahiyo mna uhakika wale sio wake?[emoji205]Zari akizaa mtoto sasa hivi baada ya jamaa yake kufa,atakuwa wake diamond
from Katesh using Siemens C55
Tyra Banks ana mtoto wa kiume1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Umeua mkuuMiss Natafuta![emoji115] [emoji85] [emoji87]
Anakwambia
Noma sana huyu mtuHichi kichwa huwa nakosaga majibu nikimfikiria dah Anyway R.I.P The GOAT
Wewe firstlady, kwa Mungu yanashindikana. Kama wametolewa vizazi watazaa kweli?Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
isaac newton habaribzake ukezipata wapiIsaac Newton