zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kwahiyo Hamas ikivamia basi wamama na watoto wa Gaza ndio waliutaka wembe? Kama ni hivyo basi kuna haja gani ya serikali ya Congo kupigana na waasi wa M 23 si waende tu mashariki ya kongo waue wamama na watoto wote maana nao "wameutaka wembe".Mtoto kalilia wembe
Kauta kautaa
Mtoto kautaka
#october7
Hapana nashangaa unafiki wenu, yaani Idd Amin kuvamia Tanzania mlienda kumtoa mkaita ushujaa ila Palestina kukaliwa kimabavu na wayahudi ni halali na wakijikomboa basi wao wapalestina ndio wachokozi?Unaletaga stori nyingi zisizo na maana. Haya ndo madhara ya kukaririshwa vitu na kuamini watu bila kuchambua mawazo yao.
Pole sana kwako na kwa watu wa Gaza.
Ila kumbukeni mihemko haijawahi kumuacha mtu/jamii salama.
Hakuna unfiki ila wewe ndo umekariri na hujui kuangalia context. Kulinganisha wapelestina na vita ya Ukraine inaonesha ni kwa kiasi gani ulivyokariri na akili yako imeegemea sehemu moja.Hapana nashangaa unafiki wenu, yaani Idd Amin kuvamia Tanzania mlienda kumtoa mkaita ushujaa ila Palestina kukaliwa kimabavu na wayahudi ni halali na wakijikomboa basi wao wapalestina ndio wachokozi?
Ila Ukraine kukaliwa kimabavu na Russia ni kosa na wakijikomboa ni halali. Hii dunia imejaa unafiki sana.
Ww mwenye greater reasoning ume achieve nini kwenye machafuko ya October 7?Kwahiyo Hamas ikivamia basi wamama na watoto wa Gaza ndio waliutaka wembe? Kama ni hivyo basi kuna haja gani ya serikali ya Congo kupigana na waasi wa M 23 si waende tu mashariki ya kongo waue wamama na watoto wote maana nao "wameutaka wembe".
Poor reasoning
Ningeshangaa Kobaz usiitaje Vatican, hebu niambie mchango wa Vatican kwenye hayo machafuko. Una chuki mpaka unashindwa kutumia akili![emoji706]Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Vitabu vyenu (vijarida) vimewataja Wayahudi kama wakaazi wa eneo hilo. Kuondoka kwao kukafanya mabwana zenu wa kiarabu wajimilikishe ardhi na hilo hali halalishi uwepo wao hapo. Wenye ardhi yao wamerudi na wameishika vema ardhi yao. Alafu hili ni matokeo ya ugaid waliofanya Hamas kuua kinyama raia wa Israel wasio na hatia so tulieni na muendelee kushangilia kama kipindi kile. Tuliwaambia tusisikie milio.Licha ya hayo. Watu hawapo tayari kuachana na Wakombozi waitwao Hamas. Hamas ni ideology ya kupigana dhidi ya mkoloni kutoka Ulaya Urusi nk anayezidi kujimilikisha ardhi ya wapalestina kuwa Yao. Watu wanapenda kufa kuliko kuishi! Keep it up
Kwani kuna mtu anaitaka Gaza!? Kinachofanyika ni kuwatia adabu wasirudie tena upumbavu wa october 7. Alafu si nyie mlisherehekea na kukata mauno siku ile humu jf? Milio ya nini sasa?Sherehe kubwa zitafuatia utakapowaona Trump na Netanyahu wakiondoka madarakani na aibu zao wakiwawacha Hamas ndio watawala wa Gaza.
Hizo haki za kibinadamy hamkuziona ile october 7 mlipokuwa mnasherehekea na kukata mauno ya uzazi? Tuliwaambia Nyau siyo wa kuchezewa mtajuta, now milio ya Kobazi kila kona!Naunga mkono hoja. Nawashangaa wakristo ambao wanaitetea israel kwa nguvu zote pasina kuangalia haki za kibinadamy
Hawajakaliwa kimabavu, kitabu chao kitakatifu chenyewe kinawatambua Waisrael kuwa wakazi/wamiliki wa radhi hiyo.Baada ya kukaliwa na wakoloni wa Israel kwa miaka zaidi ya 60, kutafuta ukombozi wao ndio makosa? Kwamba Nyerere kumpiga Idd Amin ilikua ni makosa au Mkwawa kupambana na wajerumanu ilikua ni makosa?
Mlitaka Hamas wafanyeje, wakubali tu kukaliwa kimabavu milele? Wakitaka kujikomboa mnasema "wameyataka wenyewe, acha wapigwe".
Basi tusisikie kelele za Ukraine tena muache Putin ajipigie anavyotaka maana mnatufundisha kuwa "ukibakwa usipige kelele ila sikilizia maumivu kimya kimya"
Unalinganisha kesi mbili tofauti kabisa!Hapana nashangaa unafiki wenu, yaani Idd Amin kuvamia Tanzania mlienda kumtoa mkaita ushujaa ila Palestina kukaliwa kimabavu na wayahudi ni halali na wakijikomboa basi wao wapalestina ndio wachokozi?
Ila Ukraine kukaliwa kimabavu na Russia ni kosa na wakijikomboa ni halali. Hii dunia imejaa unafiki sana.
Ukatili mbaya sana wa kutumia njaa kama silaha ya vita.Hii ni aibu kwa dunia na unyama uliopitiliza mipaka.
View attachment 3421299
View attachment 3421303
Kobazi ni watu hatari kwa duniaInabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Watu gani hao unaowazungumzia?Vita Ni Mbaya Sana
Watawamaliza Watu Duniani
Halafu Ulimwengu Wataishi Nani
Tatizo kobazi mna akili mbovu sana ndiyo maana hata huko Tz kila mtu anawapingaKaanzisha tatizo gani? Kupinga ukoloni ni Tatizo? Au ulitaka wakaliwe kimabavu hadi lini. Mbona sisi tulimfukuza Idd Amin kule kagera?
Punguza udini mdogo wangu ukizingatia tumeletewa mbona huzungumzii CONGO, SUDANI ndugu zetu wanakufa wewe kila thread ni kusifia Wafia dini lini utabadilikaInabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Mkuu ninyi ni akina nani? Na sisi ni akina nani?Vitabu vyenu (vijarida) vimewataja Wayahudi kama wakaazi wa eneo hilo. Kuondoka kwao kukafanya mabwana zenu wa kiarabu wajimilikishe ardhi na hilo hali halalishi uwepo wao hapo. Wenye ardhi yao wamerudi na wameishika vema ardhi yao. Alafu hili ni matokeo ya ugaid waliofanya Hamas kuua kinyama raia wa Israel wasio na hatia so tulieni na muendelee kushangilia kama kipindi kile. Tuliwaambia tusisikie milio.
Katika Kristo YESU yatupasa kupendana sio kuchukiana sisi sio wapagani kama unaamini katika YESU watakie mema binadamu wenzakoHawa si ndo HAMAS? Makundi ya kigaidi yanastahili zaidi ya hapo. Watuulia vijana wetu wasio na hatia, tena yule mmoja aliomba kabisa asamehewe aachiwe ila wakamuua kwa unyama sana.
Israel tusaidieni kudondosha kipande cha NUCLEAR hapo ili kufuta kabisa hao wahuni.