Sasa wewe panya hizo chokochoko za juzi ndo unaweka conclusion.....hii vipi ni yamilongo uko miaka na miaka....unajua nani alianza na kwanini...!!?Dunia kuna muda haina huruma na watu wanaotumia mihemko. Shibe iliwalevya wakaenda kuua wayahudi bila huruma na haya ndo majibu yake.
Kinachoendelea Gaza kitukumbushe kwamba kila ubaya una malipo yake. Haya ni malipo ya walichokifanya Hamas japo dunia imesahau.
Wasivyo na huruma wameendelea kuwacha ndugu zao wateseke wakati asilimia karibu 70 ya viongozi wa kisiasa wa Hamas wakiwa nje ya Gaza. Dunia imepigwa upofu na kelele zimekuwa upande mmoja wakisahau aliyeanzisha.
KARMA IS BITCH
Hauwajui Vatican vizuriVatican hawana uhusika wowote negative ila negative.
Siwezi kukataa au kukubali kama ndio au sio mipango ya Mwenyezi Mungu.What if ni mipango ya Mungu mkuu
Mungu ni.mkuu,atawasaidiaHii ni aibu kwa dunia na unyama uliopitiliza mipaka.
View attachment 3421299
View attachment 3421303
Umechanganya file, sihusiki na hii comment yakoPunguza udini mdogo wangu ukizingatia tumeletewa mbona huzungumzii CONGO, SUDANI ndugu zetu wanakufa wewe kila thread ni kusifia Wafia dini lini utabadilika
Umechanganya file, sihusiki na hii comment yakoPunguza udini mdogo wangu ukizingatia tumeletewa mbona huzungumzii CONGO, SUDANI ndugu zetu wanakufa wewe kila thread ni kusifia Wafia dini lini utabadilika
Kinachoendelea sasa hivi chanzo chake ni hiyo ya mwaka jana juziSasa wewe panya hizo chokochoko za juzi ndo unaweka conclusion.....hii vipi ni yamilongo uko miaka na miaka....unajua nani alianza na kwanini...!!?
Watu wa Hamas ni Wajinga Wajinga kama wewe, ndo maana vita haishi.Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Sasa kama ni mipango ya Mungu na ushamwita ni shetan itakuwaje sheikhSiwezi kukataa au kukubali kama ndio au sio mipango ya Mwenyezi Mungu.
Yeye Mwenyezi Mungu ndio anajua
Utapataje ujasili WA kulala na mke wako na kumpa mimba wakati Kuna msiba katika taifa teule? Ni dhalauNi ajabu sana ki utu kufurahia maswala ya wanaoathiriia kwa vita , hasa wanawake na watoto. Sio utimamu.
Umeoa huko ?Utapataje ujasili WA kulala na mke wako na kumpa mimba wakati Kuna msiba katika taifa teule? Ni dhalau
Ndio Russia iliteka maeneo mnamo 2014 kama Crimea etc na ikaendelea kuyakalia maeneo mapya 2022 kama Donbass etc. Hivyo Ukraine imewahi na inaendelea kushambulia majimbo hayo ili kuwatoa warusi na hili linaungwa mkono na West ikiwemo na Israel!!Ukraine waliivamia Russia na kuua raia kabla ya kuvamiwa?
Ubaya ni upi kujikomboa au yule anayekukalia kimabavu? Mfano Putin alikalia kimabavu Crimea je kitendo cha Ukraine kulipua lile daraja na kuua watu ni ubaya au ilikua justified?Ukitenda ubaya subiria malipo, haya ni malipo kwa ubaya aliyofanya Hamas wakati raia wanaoteseka sasa wakishangilia.
Nani alishangilia? Nakumbuka humu mliwahi sema sijui wazungu wana support ushoga mbona Trump alipinga ushoga na kushinda urais? Maana yake ni kwamba msipende mambo ya jumla jumla tu kwamba "walishangilia".wakati raia wanaoteseka sasa wakishangilia.