zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Wapo mbona Netanyahu ameua wapalestina wasio na hatia na bado anakula bata tu.Sema yote uliyokariri ila hakuna anayekufa na deni la mtu hususan ubaya
Unapoanzisha fujo uwe umejua na kuandaa njia mbadala za kuiponya nafsi yako.Kinyume na hapo au kutaka huruma tu ya walimwengu ni upimbi uliopea viwango.Hii ni aibu kwa dunia na unyama uliopitiliza mipaka.
View attachment 3421299
View attachment 3421303
Yaani mpigane nyie kwa ujinga wenu, halafu mzungu ndo aje kuwagawia chakula. Kazi kweli kweliInabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka
WAZUNGU HAWALIONI HILI NA KULIKEMEA ISPOKUWA WANALIONA LA LISSU ANAVYOONEWA TANZANIA!Hii ni aibu kwa dunia na unyama uliopitiliza mipaka.
View attachment 3421299
View attachment 3421303
Hata wewe umekosa akili kwa kukariri vitu usivyovielewa ndio maana unashindwa kuona ubaya wa kinachoendelea Gaza.Unaletaga stori nyingi zisizo na maana. Haya ndo madhara ya kukaririshwa vitu na kuamini watu bila kuchambua mawazo yao.
Pole sana kwako na kwa watu wa Gaza.
Ila kumbukeni mihemko haijawahi kumuacha mtu/jamii salama.
Mandela na Nyerere walikua wakristo in fact Nyerere kapewa hadhi ya mtakatifu ila bado alikua anasupport palestina dhidi ya Israel. Papa Francis pia alikua supporter wa Palestine ndio sembuse wewe nobody kwenye ukristo au siasa za ukombozi Afrika.Tatizo kobazi mna akili mbovu sana ndiyo maana hata huko Tz kila mtu anawapinga
Kwani mimi ni kiongozi wa Hamas? Nachosema acheni unafiki kama kumuondoa Idd Amin ilikua halali alipoikalia Kagera basi ni halali pia kwa Hamas kuwaondoa wayahudi kwenye vijiji vya palestina.Ww mwenye greater reasoning ume achieve nini kwenye machafuko ya October 7?
Aaah basi na Putin naye aachiwe Ukraine maana kihistoria Ukraine ni eneo la urusi kwa zaidi ya miaka 600!! Au mkuki kwa nguruwe?Hawajakaliwa kimabavu
Aaah ila kitabu hicho hicho kikisema Yesu sio Mungu kinageuka haramu? Au ndio mchuzi wa nguruwe mtamu ila nyama yake haramu??kitabu chao kitakatifu chenyewe kinawatambua Waisrael kuwa wakazi/wamiliki wa radhi hiyo.
Kama mnalijua hili kwanini Putin kuirejesha eneo la Urusi yaani Ukraine iwe ni haramu? Alafu kila mtu mwenye dini yake akidai alichoambiwa na mungu wake patakalika? Mfano Jehovah Witness wanaamini mali zote za dunia wao ndio warithi nao wasikilizwe au wasikilizwe wayahudi tu?Mtu kuacha nyumba/ardhi yake akaenda kujitafuta kwingine haikupi haki ya kuhamia na kujimilikisha
Haya waendelee kuyakomboa muache kuwapigia kelele wayahudiNdio Russia iliteka maeneo mnamo 2014 kama Crimea etc na ikaendelea kuyakalia maeneo mapya 2022 kama Donbass etc. Hivyo Ukraine imewahi na inaendelea kushambulia majimbo hayo ili kuwatoa warusi na hili linaungwa mkono na West ikiwemo na Israel!!
Tukirudi palestina, lile eneo walilovamia Hamas ni sehemu ya ardhi ya palestina iliyokaliwa na Israel tokea 1948 sasa Hamas kuvamia eneo lao kulikomboa ni kosa?
Kwahiyo kama Ukraine inayataka maeneo yaliyokaliwa kimabavu na Urusi na mnaona ni HALALI inakuaje Hamas kutaka maeneo yanayokaliwa kimabavu na Israel ni kosa??
Tuanzie hapo kwanza
Nakufahamu stori zako ni zile zile za kukaririshwa. Na mbaya zaidi umekaririshwa uongo kwa makusudi au kwa kutokujua. West Bank kuna Battalion ya Hamas kila siku walikuwa wanapambana na vikosi vya PLO.Ubaya ni upi kujikomboa au yule anayekukalia kimabavu? Mfano Putin alikalia kimabavu Crimea je kitendo cha Ukraine kulipua lile daraja na kuua watu ni ubaya au ilikua justified?
Cha ajabu wanachofanya Ukraine kule crimea, donbass na mahali pengine ni halali ila wakifanya Hamas mnasema wametenda ubaya?
Huu unafiki ndio naoupinga hapa, kama Hamas kakosea kudai ardhi yake basi Ukraine naye kakosea.
Ukitaka kujua ulivyo muogo ona westbank kule hakuna Hamas na hakuna vita ila wapalestina wangapi wanauwawa kila siku na kuporwa ardhi na walowezi wa kiyahudi?? Kama Hamas ndio walizingua Gaza vipi westbank kosa lao ni nini na hawajapigana na Israel?
Mnatakiwa mjifunze kwamba wayahudi hawayumbishwi na propaganda za Al Jazeera.Wapo mbona Netanyahu ameua wapalestina wasio na hatia na bado anakula bata tu.
George Bush kaua wangapi Iraq tena kwa kusingizia uongo kuwa wana silaha za maangamizi ila mbona anazidi kunenepa tu. Same to Obama kaua wangapi Libya, alikiri alifanya mistake ila bado anadunda tu.
Labda useme "hakuna anayekufa na deni la mmarekani" maana yake ukifanya ujinga ila ukawa rafiki wa USA we ni malaika. Ona Syria, kiongozi wao ni gaidi tena ni tawi la Al qaeda kwa Syria cha ajabu Trump kamwagia sifa na kamuondolea vikwazo ila huyo huyo Al qaeda akipewa support na Iran mnasema Iran anafadhili ugaidi.
Acheni unafiki
Ni sawa kama ukiwa na akili ndo unakuwa kama wewe hivyo bora nisiwe nazo.Hata wewe umekosa akili kwa kukariri vitu usivyovielewa ndio maana unashindwa kuona ubaya wa kinachoendelea Gaza.
Maelezo marefu Pumba tupu una muda mwingi wa kutype Pumba zako kwa kua huna shughuli ya kufanya tulia mnyolewe magaidi nyie.Kwani mimi ni kiongozi wa Hamas? Nachosema acheni unafiki kama kumuondoa Idd Amin ilikua halali alipoikalia Kagera basi ni halali pia kwa Hamas kuwaondoa wayahudi kwenye vijiji vya palestina.
Unataka kusema leo Malawi akisema Tanzania ni eneo lake inabidi tumpishe tu? Tukipinga basi sisi ndio wachokozi?
October 7 imezidi kuchochea mbegu ya mabadiliko maana imefunua uovu wa Israel kwa dunia nzima. In fact uharibifu wa Gaza ndio umezaa nationalism ya palestina kubwa kuliko Hamas so ndani ya miaka 10 ijayo tegemea resistance kubwa zaidi ya October 7 na itaenda hivyo hivyo hata ipite miaka 100 mpaka itakombolewa. Maana watoto waliofiwa wazazi watazid kupanda uadui na watakua tayari hata kujitoa mhanga kwa ajili ya kisasi.
Violence haijawahi kumaliza violence ni muafrika tu ndio ana akili hizo. Ona Afghanistan, Libya, Syria, na Iraq vipi kuna mabadiliko yoyote tokea muende kupeleka "mabadiliko".?
Embicile
Nani kapiga makelele, tunapinga unafiki wenu humu.Haya waendelee kuyakomboa muache kuwapigia kelele wayahudi
Itaje hapa hiyo battalion, kwanza Hamas haina "battalion" armed Wing inaitwa Al Qassam Brigade na makao makuu yake ni Gaza sio West Bank. Tatizo una shule ndogo ni ngumu kujadili mambo makubwa kama haya.West Bank kuna Battalion ya Hamas kila siku walikuwa wanapambana na vikosi vya PLO.
Najua huwezi jibu hoja yoyote ya mfanano kati ya Ukraine na palestina maana hauna uwezo huo. Ni vizuri ukajifunze history, geopolitics, na MENA dynamics kabla ya kuja kuongea humu na great thinkers.Nakufahamu stori zako ni zile zile za kukaririshwa.