CCM ni kichaka cha majangiliwatu wao wapo ccm.
Wanaweza kumuuaJamaa kajichomaa, hapo Kila kitu chake kitaanza kwenda mraba 🤣
Ila nampongeza sana Kwa ujasiri, uthubutu na uzalendo wa hali ya juu
Bora hata Jaji Warioba anathubutu kuongeaUtakuta Hawa Wanafamilia 12, wameanza hii shughuli baada ya JPM kufariki.
Tumtume nani Sasa?? Mipango?? Ataweza kweli ??
Hata John Heche kawekeza hapo.watu wao wapo ccm.