Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?


Chifu Merere wa miaka ya 1800s anaelezewa kwa kina Mzee wa Usangu. Bonde la Usangu lina makabila mengi Wasangu, Wabaluchi, Wamasai, Wahehe, Wanyakyusa, Wasukuma ambao wote walikaribishwa na utawala wa Chifu Merere na kulowea mpaka leo

Wenyeji hao wa Usangu kutoka jamii tofauti ni wakulima na wafugaji
Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
PART II: MAISHA YA UMOJA WA WANA WA ENEO LA USANGU BILA UBAGUZI TANGU ENZI YA CHIFU MERERE

 
TOKA MAKTABA 2013
SAFARI KUELEKEA BONDE LA IHEFU MVUA ILIPINYESHA MIAKA 9 ILIYOPITA


PART II : SAFARI KUELEKEA BONDE LA IHEFU, MIAKA 9 ILIYOPITA
Source : Calvin Gwabara
 

15 October 2022

MKUU WA MKOA NA DC WALALAMIKA NA KUIELEKEZEA KIDOLE NARCO KUWA WAGUMU KUTOA TAARIFA KWA WENZAO SERIKALINI

 
24 December 2022
Dar es Salaam, Tanzania

LIVE: "TUMEKABIDHI MAJINA YA FAMILIA 12 KWA MAKAMU WA RAIS ZINAZOHARIBU MAZINGIRA". MECIRA


Taasisi ya MECIRA imesema kwa sasa mikoa ya Shinyanga, Singida, Kigoma , Katavi, Morogoro n.k mazingira yake yameathirika vibaya sana na uharibifu unaotokana na shughuli za kibinadamu ...

Taasisi ya MECIRA inasema itaendelea kuibua uharibifu wa mazingira unaoendelea nchini kote ...
Source : Jamvi online TV
 
Halafu kuna mtu anadai eti mitambo ni mibovu na mwendazake alikuwa analazimisha isifungwe ndio maana kulikuwa hakuna mgao, yeye kama kinara kabaki kuuza gesi badala ya kwenda kufungua vyanzo vya nishati, watu wakisema mgao huu ni wa makusudi baba zao wanakuja juu na kutukana waandishi wa habari na mtoto mpendwa analalamika kwa mama kuwa anatukanwa sana, wakati uwezo wake ni mdogo. haya ndio matokeo ya walamba asali, si ajabu Polepole aliwaita wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…