Mbalino makazi ya chifu. Nyumba ya ghorofa mbili ya chifu Merere wa Utengule Usangu Mbeya.
View attachment 2453211
Picha: Makazi ya chief Merere wa Usangu ambaye ukoo wake ulikuwa ukikaribisha wageni toka sehemu za mbali ndani ya Tanganyika pia hadi pembe ya Afrika na hii kufanya himaya yao kuwa na washirika wenye nguvu kulinda himaya ya Usangu na pia kuleta mabadiliko chanya kupitia wadau wa maendeleo toka enzi za miaka ya 1800s
View attachment 2453213
Ngoma ya utamaduni 'yailya' mbele ya iliyokuwa kasri ya Chief Merere wa Usangu
Mwendo wa kukaribia Mbalino makazi rasmi ya Chifu wa Usanga aliyekuwa maarufu nyanda hizo za Utengule kusini magharibi ya Tanganyika
View attachment 2453212
Habari za Utengule Usangu na Chief Merere wa Usangu kwa hisani kubwa ya source :
THE CRUMBLING HERITAGE OF THE SANGU
View attachment 2453216
Chief Salehe Alfeo Merere mwaka 2018
View attachment 2453215
Soma zaidi : source :
BOMA LA CHIFU MERERE WA USANGU LINAVYOWAVUTIA WAGENI KUTEMBELEA