Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful!
Kwa maoni yako endelea;

Na ndio maana Serikali ya Rais Samia Suluhu haijawafumbia macho watawajibishwa kweli hii awamu ya sita inaendelea kuupiga mwingi
 
Hata kama ila safari hii wamezidi.

Bora jpm alikuwa angalau anawatisha,

Alafu mbona unaitetea sana hii awamu? Nawe una ramba asali?
Nitetee mafisadi? Nachopinga ni hii tabia ya kumfanya JPM alikua exceptional wakati ni yaleyale tu wote ni CCM na wote wanalinda mafisadi.

JPM alishindwa kumkamata hata mmoja kwenye Ile ripoti ya Bashiru ya ukaguzi wa mali za chama!! Sasa ana tofauti gani na mafisadi wa awamu ya sita?
 
Hapo ndio tutamkumbuka JPM, hakukuwa na untouchable!
Ila hii sirikali ya kimama mmmh
Untouchables wako kila regime. Kwa JPM wafuatao walikuwa untouchables; Makonda, Sabaya, Mnyeti, Ditto James, Mayanga construction,
 
Nitetee mafisadi? Nachopinga ni hii tabia ya kumfanya JPM alikua exceptional wakati ni yaleyale tu wote ni CCM na wote wanalinda mafisadi.

JPM alishindwa kumkamata hata mmoja kwenye Ile ripoti ya Bashiru ya ukaguzi wa mali za chama!! Sasa ana tofauti gani na mafisadi wa awamu ya sita?
Angalau alijikuna kwa kuwanyanganya kina Rostam chanel ten.. Vipi hawa wa sasa umeona hata kuna lolote linafanyika kweli?
 
Basi ingekuwa enzi za Dkt Magufuli kigogo2014 angetoka na bonge uzushi
 
Katika hiyo list mkwele, x mbunge wa igunga na joka lenye makengeza wakikosekana mniite mbwa nipo pale nimekaa pale
 
Mbalino makazi ya chifu. Nyumba ya ghorofa mbili ya chifu Merere wa Utengule Usangu Mbeya.

1671584304828.png

Picha: Makazi ya chief Merere wa Usangu ambaye ukoo wake ulikuwa ukikaribisha wageni toka sehemu za mbali ndani ya Tanganyika pia hadi pembe ya Afrika na hii kufanya himaya yao kuwa na washirika wenye nguvu kulinda himaya ya Usangu na pia kuleta mabadiliko chanya kupitia wadau wa maendeleo toka enzi za miaka ya 1800s
1671585103341.png

Ngoma ya utamaduni 'yailya' mbele ya iliyokuwa kasri ya Chief Merere wa Usangu


Mwendo wa kukaribia Mbalino makazi rasmi ya Chifu wa Usanga aliyekuwa maarufu nyanda hizo za Utengule kusini magharibi ya Tanganyika

1671584496125.png


Habari za Utengule Usangu na Chief Merere wa Usangu kwa hisani kubwa ya source : THE CRUMBLING HERITAGE OF THE SANGU

1671586381818.png


Chief Salehe Alfeo Merere mwaka 2018

1671585945237.png

Soma zaidi : source : BOMA LA CHIFU MERERE WA USANGU LINAVYOWAVUTIA WAGENI KUTEMBELEA
 
Back
Top Bottom