Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Je hamkuwahi kuambiwa kuna watu wakiguswa nchi itatetemeka?
Upuuzi mtupu. Yani mtu mmoja au wawili au watatu watikise nchi nzima! Hii Tanzania nchi ya kifala sana. Taifa la watu milioni 60+ lipelekeshwe na familia kadhaa, chinjia baharini hao watu maisha yaendelee, sijui wanakwama wapi
 
Niliwahi kuandika SIJUI ni I'd hii au nyingine kwamba"MIRADI YA SERIKALI ISIMAMIWE NA DOLA WANASIASA WAMESHINDWA"

Mradi wa ihefu ungesimamiwa na Mabaka baka ujinga kama huu tusingeuona hata hizo familia 12 zisingesogea,lakini KWASABABU mradi ipo chini ya WANASIASA tena wanaongozwa na itikadi ya vyama vyao Basi hayo ni Halali yetu!!
 
Endelea kuwasuburi hao Usalama wachache wakuwekee mipango na mbinu za kukuendeleza na kulinda rasilimali zako[emoji16]
Tatizo unafikiri huo ubongo utabeba mawazo ya wachache! Ulinzi na usalama ni wa raia wote lakini mipango na mbinu si kazi ya raia wote!
 
Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful!
Kwa maoni yako endelea;

Nimefuatilia Kwa makini,

Anayetafutwa hapo ni Mashimba Ndaki waziri.

CCM wakimnyooshea kidole mtu kumtuhumu ni MWIZI ,fikiria twice , yaezakuwa ni INNOCENT.

Aamen
 
Nimefuatilia Kwa makini,

Anayetafutwa hapo ni Mashimba Ndaki waziri.

CCM wakimnyooshea kidole mtu kumtuhumu ni MWIZI ,fikiria twice , yaezakuwa ni INNOCENT.

Aamen
Kidogo na mm nimestuka hasa pale Balile aliposema kuna jambo roho mtakatifu kanituma niliseme "ng'ombe wanakamatwa naibu waziri anapiga simu waachiwe"". Alimaanisha naibu waziri ama waziri? Maana Mashimba ni waziri.

Itakuwa familia 12 zinataka kumuondoa huyo naibu ama huyo waziri.
 
Watanzania hawa hawa wanaposema Magufuli alikuwa shetani tuchukulie kuwa ndio ukweli pia?
Watanzani tuko wengi na watu huwa na mitazamo na hisia tofauti, hivyo wapo waliyomuona Magufuli ni shetani kwa mambo ambayo waliamini anayafanya na wapo ambao hawakumuona ni shetani. Na Kikwete naye watu walimuona ni dhaifu kutokana na hali ilivyokuwa.
 
Na kuna wengi pia walimuona Kikwete alikuwa kiongozi mzuri, so ni suala la mtanzamo tu
 
Atakolimbwa😂😂😂.Amegusa asicho kijua.Tetea wanyonge ukigeuka hakuna mtu nyuma yako.Stan katabalo aliwatetea wakazi wa bonde la ngorongoro akaliwa kichwa.
Kwahiyo unamtisha law kukukumbusha ya wenzie?
 
Tuache siasa. Tupeni nukuu ya utafiti unaoonyesha kishindo cha mifugo hususani ngombe huathiri mtiririko wa asili wa maji kwenye mito au cachment area. Research ilifanyika wapi duniani au Afrika?

Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful!
Kwa maoni yako endelea;
 
Back
Top Bottom