Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Mbona mnamkuza sana JPM kwamba wakati wake hakukua na untouchables? Nchambi si akikamatwa na bunduki za kutosha na meno ya tembo vipi mbona alitoka uraini kwa faini ndogo tu!!!

Mwanyika alipewa ubunge kabisa licha ya kesi juu ya ushiriki wake kwenye kutorosha Makinikia!!
Bora huyo jpm alikuwa hata anakamata japo anawaachia!

Vipi hawa jamaa zako wamemkamata nani angalau hata kwa kumtisha tu?
 
Wewe hata mkeo akizabua makofi utamshukuru Samia
Hayo Ni matokeo ya Sera Bora kabisa za Dk.Samia 👇
Screenshot_20221219-121255.png
 
Yamefanyika hata kabla shetani Magufuli hajawa Rais na yeye alibaki akikodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango!
Lazima mataahira akitajwa jpm mata. Kle yaanze kupwita.

Hebu tuoneshe picha za mto ruaha ukiwa umekauka enzi za jpm?
 
Labda kama umezaliwa jana , unazifahamu sababu za Channel 10 kuwa mali ya ccm ?

Halafu mbona hilo jambo halikuwa la siri ! kila mtu mwenye macho aliona
Chanel ten ilikuwa mali ya ccm toka zamani kina Rostam wakaipora enzi za kina jk,

Ili rudi ccm baada ya juhudi za kina Bashiru na Magufuli.

Sasa mambo yanarudi taratibu na safari hii mtaguswa hadi nyie vidagaa
 
Whatever the case hoja hapa ni kwamba untouchables walikuwepo hata kipindi Cha JPM. Huyo Mwanyika si JPM alisema kasababisha Tumeibiwa Makinikia ya matrillion ila faini less than 1 Billion!!

So CCM ni wale wale tu JPM wasn't anything special otherwise wezi wote wa Escrow na EGMA wangekua jela.
Wezi wa escro walitiwa ndani mkapiga kelele eti jpm ana chuki na matajiri.

Kuwatetea wapumbavu malipo yake ni upumbavu
 
Sasa JPM alimfunga nani Kila mtu pesa ilikua inaongea? Nchambi na Mwanyika walikua na kesi za mabilion ila wakalipa fine chini ya 1% walioiba!! utadhani madhara yaliyoletwa na ufisadi yanakua solved kwa pesa pekee.

Huyo Mwanyika kutoka kuitwa msaliti Hadi kupewa ubunge na JPM Tena alimfanyia kampeni kabisa.

Untouchables walikuwepo miaka yote hata JPM aliwajua ila aliwalinda tusidanganyane hapa kwamba alishughulikia mafisadi kama alikua na jeuri hiyo angewashughulikia wezi wa mali za CCM.
Hata kama ila safari hii wamezidi.

Bora jpm alikuwa angalau anawatisha,

Alafu mbona unaitetea sana hii awamu? Nawe una ramba asali?
 
Hizi familia 12 tunaomba zisishiriki mchakato wa mwaka2025.
Ni kundi hatari sana.
Lukuvi hizi familia anazifahamu na ndizo zilimchomoa Uwaziri
Ahh maskini! Kumbe Lukuvi anakufa na tai Shingoni? Sasa tayari naanza kuunganisha dots kuanzia hapo! [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom