Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Shithole country! Nchi hii ina mtu anayeitwa rais, lakini kuna watu wana nchi ndani ya nchi. Ni marais ndani ya nchi. Naye Rais wa nchi anaamini wanastahili kufanya hayo! Mbaya zaidi wana tabia ya urafiki ndani ya uongozi.
Jiwe alipokuwa Rais aliwafanya nini?
 
Nchi yangu Tanzania nakulilia.
Unaweza kujiuliza intelijensia ya nchi inafanyaje kazi? Ina maana hizi taarifa hazijulikani? Na kama zinajulikana ni kitu gani kinaweza fanyika kubadilisha madudu haya?
Je Rais na vyombo vyake wanazo taarifa hizi?
 
Kwaiyo Rostam angelifungwa wewe ungenifaika nini? Sinibora alivyohongwa Chanel 10, Sasahivi inalingizia taifa mapato, juzi kuna Mchina amekamatwa ameua tembo zaidi ya 500 amehukumiwa kifungo cha miezi 6 au kulipa faini ya laki tano.
Hiyo kesi ya mchina ilikuwa mwaka 2019, kipindi cha Magufuli
 
Uhuru wa maoni ulikuwa enzi za Kikwete ila Kikwete akaishia kuwa rais dhaifu, uhuru wa maoni umerudi tena sasa sijui Samia naye atakuwa rais dhaifu pia au atakuwa anachukua maamuzi magumu pale anapotakiwa kufanya hivyo ili asiwe dhaifu?
Kikwete aliwafunga mawaziri wastaafu, vigogo wa polisi, Magufuli amemfunga nani kwa ufisadi? Sugu na madiwani wa Chadema?
 
Ila wabongo hatuna akili. Ukisoma humu unagundua hilo kwa uwazi kabisa 6 pages zimeandikwa pumba tupu
 
hawakawii kusema familia 12 zilianza enzi za makufuli ndio aliowaachia maana sijawahi kuona katika maisha yangu maiti iliyosingiziwa kama marehemu jpm,delay za ndege air tanzania wanasema jpm
 
Back
Top Bottom