Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

12 gang's ni untouchable kweli tutafika sisi kajambanane tukianza kulima
 
Kwaiyo Rostam angelifungwa wewe ungenifaika nini? Sinibora alivyohongwa Chanel 10, Sasahivi inalingizia taifa mapato, juzi kuna Mchina amekamatwa ameua tembo zaidi ya 500 amehukumiwa kifungo cha miezi 6 au kulipa faini ya laki tano.
Akalipa faini na kuachiwa huru ! [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sasa JPM alimfunga nani Kila mtu pesa ilikua inaongea? Nchambi na Mwanyika walikua na kesi za mabilion ila wakalipa fine chini ya 1% walioiba!! utadhani madhara yaliyoletwa na ufisadi yanakua solved kwa pesa pekee.

Huyo Mwanyika kutoka kuitwa msaliti Hadi kupewa ubunge na JPM Tena alimfanyia kampeni kabisa.

Untouchables walikuwepo miaka yote hata JPM aliwajua ila aliwalinda tusidanganyane hapa kwamba alishughulikia mafisadi kama alikua na jeuri hiyo angewashughulikia wezi wa mali za CCM.
Halafu JPM akajipendekeza hadi kumpa ubunge Mwanyika
 
Sisi kazi yetu nikufulaia yangaa kafungwa dah adi rahaa, mtanzania bwana
 
Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful!
Kwa maoni yako endelea;

Naona wewe umetuanzishia hao wawili kati ya hao 10, hebu nipekue kwenye kadi za wanaccm ninauhakika hao 10 nitawapata kwani juzi tu walikuwa Dodoma.
 
Ni mawazo ya hovyo na potofu kufikiria usalama ndio muarobaini wa kila kitu.
Ndio ni kila kitu! Ndipo nchi inapoanzia na kuishia! Ndipo panapaswa kuwa ubongo wa Taifa.
 
Yaani kilichonifurahisha ni kuwa hawa watu Wenye pembe 12,hata humu JF wamewaogopa kuwataja hata kwa abbreviations zao. Kweli kuna watu wamitia mfukoni Nchi hii.
Kama katika "list of shame'" mafisadi papa yalitajwa kwa majina bila ya kupepesa macho, sasa inashindikanaje sasa kwa hawa wahujumu wa miundombinu muhimu ya maji hapa nchini. Hata kama kiserikali katika hatua ni mapema mno kuwataja ili kupisha uchunguzi zaidi. Lakini wapo watu jasiri ambao hawana kifua na wana uthubutu wa kufanya hivyo.

Kamati imefanya vyema kuweka wazi uhuni wote unaofanywa na hao wahuni. Lakini ni vyema wazalendo wengine kama wanafununu yoyote kuhusu majina ya familia hizi, nao wajitokeze wakate mzizi wa fitina, akili ya kibinadamu imeumbwa kufanya udadidi, na kutaka kujua fumbo lolote lililopo mbele yake.
 
Ndio ni kila kitu! Ndipo nchi inapoanzia na kuishia! Ndipo panapaswa kuwa ubongo wa Taifa.
Hakuna kitu kama ubongo wa Taifa. Kila kitu kinaanza na kuisha na raia walio wengi wenyewe. Kama raia mlio wengi hamna akili hata mngepewa CIA au Mossad wawaendeshe mtabaki mafukara tu.
 
Hakuwa na lolote yule jamaa , mdogo wa Rostam Aziz alipodakwa na Makontena ya meno ya tembo pamoja na mibunduki kadhaa ya kivita , Jiwe alikubali Rushwa ya Channel 10 ili yaishe.

Umesahau hili ?
Ndiyo maana tunasema CCM ni Chama Cha Mafisafi
 
Back
Top Bottom