Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

Tuache siasa. Tupeni nukuu ya utafiti unaoonyesha kishindo cha mifugo hususani ngombe huathiri mtiririko wa asili wa maji kwenye mito au cachment area. Research ilifanyika wapi duniani au Afrika?
Kwani wewe unasemaje? Tuanzie kwako.
 
All arguments should be backed by scientific data. Govt should deal with water abstraction for irrigation in rice farms and
supply in growing urban settlements. Mafinga.
, Makambako, Mbalizi etc. Who knows the impacts of creation Usangu NP. Mashaka waliopata Wafugaji kwa kuhamishwa Ihefu mbayajua? Sasa mnataka sababisha acha ingine? lLet Govt convern a scientific conference to address this matter. The original purpose of Mtera reservoir should also be upheld.

Kwani wewe unasemaje? Tuanzie kwako.
 
All arguments should be backed by scientific data. Govt should deal with water abstraction for irrigation in rice farms and
supply in growing urban settlements. Mafinga.
, Makambako, Mbalizi etc. Who knows the impacts of creation Usangu NP. Let Govt concerned scientific conference to address this matter. The original purpose of Meters dam should also be upheld.

Kwani wewe unasemaje? Tuanzie kwako.
 
Niliwahi kuandika SIJUI ni I'd hii au nyingine kwamba"MIRADI YA SERIKALI ISIMAMIWE NA DOLA WANASIASA WAMESHINDWA"

Mradi wa ihefu ungesimamiwa na Mabaka baka ujinga kama huu tusingeuona hata hizo familia 12 zisingesogea,lakini KWASABABU mradi ipo chini ya WANASIASA tena wanaongozwa na itikadi ya vyama vyao Basi hayo ni Halali yetu!!
Halafu kwa kweli kwenye nchi hii, hakuna watu ambao mimi huwa ninawaamini kama mabaka mabaka. Mama awape baadhi ya miradi korofi waisimamie
 
shida ni moja tu, baadhi yetu ni mabingwa wa kuongea na kujenga hoja nzuri sana lakini leo hii akikabidhiwa nafasi katika sekta hiyo hiyo anayo izungumzia utashangaa amebadilika na kuwa kimyaaaa tofauti kabisaaa.

ila kazungumza mambo ya msingi sana, kincho takiwa ni utekelezaji wa haraka kwa manufaa ya wanachi.
 
Halafu kwa kweli kwenye nchi hii, hakuna watu ambao mimi huwa ninawaamini kama mabaka mabaka. Mama awape baadhi ya miradi korofi waisimamie
Ni kinyume na Katiba na sheria za nchi.

Tupate katiba mpya mambo yataenda vyema.

Umesahau ya Hans Kitine?
 
Kuhusu nini, hela za matibabu ya mama kule nje ya nchi?

Kipi bora, Katiba ikiukwe kidogo halafu mambo yawe sawia, au ifuatwe sawia halafu mambo yaparanganyike mithili ya ilivyofanyika kule Ihefu?
 
Kuhusu nini, hela za matibabau ya mama kule nje ya nchi?
.....na yule aliyekuwa NIDA nani vile?

Sehemu kubwa ya uongozi wa nchi ni hao mabakamabaka. Wwmeshaona utamu na wwnaamini nchi ni yao ndo maana hata semi za kusema nchi isitolewe kwa wapinzani imeanzia kwenye tafakuri za kupata na kukosa kulingana na mazoea.

Nchi inahitaji kuanza upya hii.

Mtanikumbuka
 
Back
Top Bottom