Watu siku hizi Tanzania wanakufa wakiwa na sura za kung'aa, mashavu yamejaa, miili iliyonona, umri pungufu ya miaka 50; Hii sio trend ya kawaida

Watu siku hizi Tanzania wanakufa wakiwa na sura za kung'aa, mashavu yamejaa, miili iliyonona, umri pungufu ya miaka 50; Hii sio trend ya kawaida

Ukiona mtu amenona maana yake ni mpambanaji, na maisha yake yanakuwa yanazungukwa na msongo wa mawazo kutokana na aina ya maisha aliyoyachagua.

Ukishakuwa na msongo wa mawazo, unakaribisha presha na magonjwa ya sukari, figo n.k; inayokuja kupelekea kupata umauti wa ghafla.

Muhimu, tujiepushe na tamaa zinazotupelekea kuwa na misongo ya mawazo; ishi maisha yako.​
 
Back
Top Bottom