Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
-
- #61
Asante sana mkuu, ikitokea ikashindikana nitakuwa tu mwenyewe maana unaweza kuanzisha mahusiano na mwengine ikawa afadhali ulipotokaKama umetafuta kila namna ya kuweka mambo sawa na bado haijawa sawa, kwa afya yako ya akili na kwa utulivu wako wa moyo nakushauri achana naye.
Ukishaachana naye tulia kwa muda, usitake kujionyesha kwamba nawe ni wa thamani sana hivyo unagombaniwa. Tulia jipe miezi hata 3 kisha anza safari yako nyengine.
Lakini kubali kuwa ukshiachana naye kwa kiasi fulani utajihisi maumivu, yavumilie na yatakwisha, na njia hii ukiifuata ndiyo njia sahihi.
Hakika,Nsema hivi sababu nipo kwenye situation kama yako nilikuwa na mwanamke kama huyo Sasa ni kipindi ambacho anakumbuka kwamba alinikosea.Nami sitaki anisogelee na hawezi hata kuniomba uroda maana nlikuwa nikimuomba ni kama natafuta Uraisi.Hapa ananikosea sana itabidi ni balance mambo asione kama mimi ndo namuhitaji sana
Hujui tu huyu mtu alivyo kiburiMdeku kimachale ila ukimtema atakusumbua sana,Ndo atakumbuka kumbe nilikuwa namuudhi.
Kama ni mwanaume na ananuna nuna huyo ashaanza kukuchukulia poa.Kwahiyo ni heri kumkaushia kwa muda maana kanikosea, ila ananiambia mimi ndiyo nilimuudhi na sijaomba msamaha Kwahiyo kanuna
Ungesema alichokosea tuone uzito wake. Ila ukweli ni kwamba HAKUNA mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevuNinajua hilo na huwa ninajishusha sana tu lakini hii tabia ya kukasirika na yeye ndo mwenye makosa haipo sawa
Duh! Huyo alikuwa hatari sana pole mkuuHakika,Nsema hivi sababu nipo kwenye situation kama yako nilikuwa na mwanamke kama huyo Sasa ni kipindi ambacho anakumbuka kwamba alinikosea.Nami sitaki anisogelee na hawezi hata kuniomba uroda maana nlikuwa nikimuomba ni kama natafuta Uraisi.
Ongea nae mpenzi wako huyo , lakini 200% , wewe kwake hauna umuhimu wowote yaani uwepo wako kwenye maisha yake hauonekani na means hauna faida kwake na haujaonheza kitu chochote , always tunawachukulia poa wale wasio na umuhimu ndio visa vya namna hiyo hujitokeza, na zaidi ya hapo utapigwa matukio mpaka uchanganyikiweWatu ambao anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa.
Ukimfanyia kitu kidogo tu anakikuza kiwe kikubwa na kukasirika sana.
Mtu ambaye yeye akikosea anaweza hata asiombe msamaha.
Mtu ambaye anakasirishwa na vitu vidogo, huwa mnaishi vipi na watu kama hawa nipate idea🤔
Ngoja nimfanyie hivyo maana haiwezekani mtu anakukosea lakini yeye ndo anaona kakosewaKama ni mwanaume na ananuna nuna huyo ashaanza kukuchukulia poa.
Ukiwa mjanja unakausha, kula buyu kali hadi huo mnuno wake uishe.
Duh! Kumbe ndiyo maana ananifanyia hiviOngea nae mpenzi wako huyo , lakini 200% , wewe kwake hauna umuhimu wowote yaani uwepo wako kwenye maisha yake hauonekani na means hauna faida kwake na haujaonheza kitu chochote , always tunawachukulia poa wale wasio na umuhimu ndio visa vya namna hiyo hujitokeza, na zaidi ya hapo utapigwa matukio mpaka uchanganyikiwe
Ni hatari sana nilihama kabisa Sasa kuna baadhi ya nyaraka zangu zilibaki kwake,nikawa nashughulikia mambo fulani ya kifedha kumwuliza akasema hazipo.Pale ndo nkajua like jini bahati nikaomba watu wa kazini nilipoacha wanitafutie zingine.Utamu upo hapa.Duh! Huyo alikuwa hatari sana pole mkuu
Hii kitaalam tunaita GG au BOTH TEAM TO SCORE. Hii ndo defense mechanism yangu kubwa sana kwa Manzi, siku zote huwa natafuta kubalance mzani🤔anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa.
Hilo jina tu hapo Mr Satan linajiongeza😆😆Hao watu ni mimi kwanza niliachwa few months ago kisa siwezi omba msamaha na kweli me mgumu sana kuomba msamaha wala kukubali mtupe msaada wa kiroho
Kwani ni dhambi mtu kutoa maoni yake mdau?Kuna ID's za 2024 na 2025 za moto sana,,,, ! Uzi kila siku, ama kwa siku uzi kadhaa ,,, content ngono /mahusiano! Nn shida ? Mkiona mahusiano hayakupendi achana nayo fanya mengine
Pole sana jifunze kuomba msamaha unapokoseaHao watu ni mimi kwanza niliachwa few months ago kisa siwezi omba msamaha na kweli me mgumu sana kuomba msamaha wala kukubali mtupe msaada wa kiroho
Ndio majibu wala usizunguke na labda kuna kitu ulikifanya ndio mfululizo wa visasi unapata haki yako , wewe si muhimu kwake na ndio maana ukiomba muongelee mambo hayo ana act kua busy Sana , yaani hauna potential kwake na mara nyingi wewe ndio ulianzisha so yeye anamalizia tuDuh! Kumbe ndiyo maana ananifanyia hivi
Kwani umeitwa hapa mkuu, si uende huko kwenye siasaKuna ID's za 2024 na 2025 za moto sana,,,, ! Uzi kila siku, ama kwa siku uzi kadhaa ,,, content ngono /mahusiano! Nn shida ? Mkiona mahusiano hayakupendi achana nayo fanya mengine
HawakosekanagiKwani umeitwa hapa mkuu, si uende huko kwenye siasa
Hapo sasa umenifahamisha kitu ngoja nianze kukifanyia kaziNdio majibu wala usizunguke na labda kuna kitu ulikifanya ndio mfululizo wa visasi unapata haki yako , wewe si muhimu kwake na ndio maana ukiomba muongelee mambo hayo ana act kua busy Sana , yaani hauna potential kwake na mara nyingi wewe ndio ulianzisha so yeye anamalizia tu
Wanaboa sana kama wamelazimishwaHawakosekanagi