Watu wa aina hii huwa mnaishi nao vipi?

Asante mkuu, nitafanya hivyo
 
Nyie ni wapenzi tu na siyo marafiki, mungekuwa marafiki kwanza halafu ndio muwe wapenzi. Tafuta amani ya moyo wako, Kisha ishi nayo. People always disappoint πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Nyie ni wapenzi tu na siyo marafiki, mungekuwa marafiki kwanza halafu ndio muwe wapenzi. Tafuta amani ya moyo wako, Kisha ishi nayo. People always disappoint πŸ€—πŸ€—πŸ€—
Kweli kabisa mkuu, ngoja nifanye hivyo
 
Kuwapandishia vioo. Kuwakataa. Kukata nao mazoea. Na hawa kwa nyanja ya saikolojia ya mwanadamu huitwa Narcissists . Na wana ugonjwa wa akili ujulikanao kama narcissistic personality disorder πŸ€”πŸ€”. Wataalam watajazia nyama nyama.
Umezungumza jambo muhimu sana ambalo wengi hawalijui, watu hawa wapo na wengi ni kutokana na changamoto za ukuaji/malezi waliyoyapitia utotoni.

Wana matatizo ila hawajigundui kama wana matatizo. Mpaka yawakumbe kwa Sanaa ndipo inapomjia fikra kumbe yeye ndiye tatizo.
 
Yaani yeye anajiona sawa tu hadi ninamshangaa aisee
 
Kuwapandishia vioo. Kuwakataa. Kukata nao mazoea. Na hawa kwa nyanja ya saikolojia ya mwanadamu huitwa Narcissists . Na wana ugonjwa wa akili ujulikanao kama narcissistic personality disorder πŸ€”πŸ€”. Wataalam watajazia nyama nyama.
Dah! Kama ni ugonjwa huu mimi sitamuweza kwakweli
 
Duh! Pole sana mkuu hata nadhani atakuwa ana mtu mwingine ndiyo maana mimi ananifanyia hivi au kanizoea sana
 
Utupe hiyo story ya huyo mtu wako wa aina kama hii tujifunze
Aisee ni mbinafsi mpaka kwenye mapenzi,anapenda sana hela ila hata kuzitumia hawezi,akikukosea hasemi ni mkinya utasema ndio mtu.Mnafiki na anapenda sana kukuzwa.akishakosea haongei anajua waweza mpiga.Mchoyo na anajifikiria yeye tu.Mfano mimi nimetoka Dodoma kufanya shughuli mbalimbali kwa sasa.nNyumba niliyofikia ipo karibu na yao ya familia kwa hiyo ndugu zake wanamwambia nipo.Kwa hiyo anafuatiliwa kila nifanyalo.
 
Huyo bado mpo pamoja au mmeachana? Kama mmeachana bado anakupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…