Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

Nikija dsm nafikia vilodge navyomudu kimya kimya maana badala ya watu dsm kuwaona kama mkombozi😅unafika unaanza pigwa vizinga
 
Kwamba nauli imepotea? 😂

Sema haya ya kuonana town ni issue nyeti sana. 😄 Ukiwa Darasalama tunajua wewe ni tajiri.
Ahhaha kazi ipo kazini kwangu kuna kazi ndio hii
 
Sio kwamba ife hiyo tabia wewe hutujui watu wa Dar huwa tunawatania, sasa ukija serious Dar ndo tunaona una wenge soo ZIMA SIMU au kitofa 🤣🤣🤣
Ukilialia sana utakula UTeni kifuta jasho 😅
Ahahah utani kama uhu hapana
 
Back
Top Bottom