Yaani nimechoka nimpishe nalipa nauli mjini kila mtu na maisha yake starehe zao zitugharimu kwnye magari Kama Ana mtoto akodi tax bora nimpishe mzee kuliko mama mwenye mtoto
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Duh pole sana kumbe mjin kila mtu ana stor yke dah kwa hali hii hz tabia sidhan km zitaisha itafika wakat itakuwa kawaida kabisa lkn kumbuka watoto ni malaika hawana dhambi yyote aijalish mamaake ana dhambi kias gan [SUP]q[/SUP]Ni makusudi. Hasa wadada wenye mimba. Pia nalipiza maana kipindi nina tumbo langu hakuna aliyekuwa ananipisha seat. Imagine kupata gari la gongo la mboto ilivyokuwa mbinde enzi hizo 2004
Mtoto apokelewe...apakatwe....Duh pole sana kumbe mjin kila mtu ana stor yke dah kwa hali hii hz tabia sidhan km zitaisha itafika wakat itakuwa kawaida kabisa lkn kumbuka watoto ni malaika hawana dhambi yyote aijalish mamaake ana dhambi kias gan [SUP]q[/SUP]
Sio sawa mm bora nimpishe mama mwenye mtpto kuliko mzeeYaani nimechoka nimpishe nalipa nauli mjini kila mtu na maisha yake starehe zao zitugharimu kwnye magari Kama Ana mtoto akodi tax bora nimpishe mzee kuliko mama mwenye mtoto
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Tena hiace miaka iyoNi makusudi. Hasa wadada wenye mimba. Pia nalipiza maana kipindi nina tumbo langu hakuna aliyekuwa ananipisha seat. Imagine kupata gari la gongo la mboto ilivyokuwa mbinde enzi hizo 2004
Kama watoto ni malaika basi muache kuwasimamisha wanafunzi kwenye daladala, eti kisa wewe mkubwa upishwe seat na mwanafunzi. Mtoto kachoka katoka shuleni sie tumekazana..we mtoto nyanyuka mpishe mkubwa akae..sio siri tunawaonea sana.Duh pole sana kumbe mjin kila mtu ana stor yke dah kwa hali hii hz tabia sidhan km zitaisha itafika wakat itakuwa kawaida kabisa lkn kumbuka watoto ni malaika hawana dhambi yyote aijalish mamaake ana dhambi kias gan [SUP]q[/SUP]
Imagine...Nilipata shida kipindi hicho naenda chuo nikiwa na tumbo, hakuna aliyewahi kunipisha nikae..si wamama si wababa.Tena hiace miaka iyo
Ila kweli mzee baba. Hii kitu huwa inazingua sana kusema kweli. Halafu ndio unakuta mtu ulizunguka na gari ili upate siti......Kati ya tabia zinazokera ni kumpisha "mtu mzima" kiti ndani ya usafiri wa umma then unakuta anashuka kituo cha jirani tu; wakati huo anashuka wewe umesimama jirani yake wala asante hakuna wakati kiustaarabu alitakiwa sio tu kusema asante bali kukurudishia siti yako ila ndio hivyo saa hizo wala hana habari na wewe uliyempisha kama aliiokota vile! So, unapoona watu wanakausha kuna mambo mengi; shukrani ya punda ...
Hii ya akimama kutowapisha akimama wenzao wajawazito au wenye watoto ndio inaniua nguvu kabisaImagine...Nilipata shida kipindi hicho naenda chuo nikiwa na tumbo, hakuna aliyewahi kunipisha nikae..si wamama si wababa.
Wenzako wazalendo haujawashinda 😀uzalendo ukanishinda ikabidi niinuke nimpishe, ikabidi nisimame safari nzima.
Sio kila unacholipia lazima upate mfano kwenye school fees private school unalipia hospitali au matibabu lkn unasoma miaka yote ujawah kwenda dispensary ya shuleIla kweli mzee baba. Hii kitu huwa inazingua sana kusema kweli. Halafu ndio unakuta mtu ulizunguka na gari ili upate siti......
Haki sawa wanaoililia wale sio mnavyoitafsiri huwez kumchukua mwanamke ukampa kaz ya kubeba tofar au fund gerage hii haina tofaut na jaribio la mauajiWenzako wazalendo haujawashinda 😀
Sema nini, wanawake wanalilia haki sawa na wanaume, sasa wanpochukuliwa sawa na wanaume, sioni mkwamo hapo.
Wababa ndo wanaotakiwa kuwapisha seat wamama.Hii ya akimama kutowapisha akimama wenzao wajawazito au wenye watoto ndio inaniua nguvu kabisa
Hii hoja haipo sawa watoto ambao tayar washapata uwezo wa kujisimamia hawa wasimame tu ila wale vichanga ambao muda wote wanahitaji uangaliz wa mama ndio wasaidiweKama watoto ni malaika basi muache kuwasimamisha wanafunzi kwenye daladala, eti kisa wewe mkubwa upishwe seat na mwanafunzi. Mtoto kachoka katoka shuleni sie tumekazana..we mtoto nyanyuka mpishe mkubwa akae..sio siri tunawaonea sana.
Kama mwanafunzi kalipa nauli asinyanyuliwe, wewe mtu mzima simama maana umemkuta
Watu mna roho ngumu na hz roho tunaanza kuambukizana mwisho wa cku kila mtu ataish maisha ykeMi nigeuze na gari la gmboto -kivukoni...Tena nipandie hapa banana TCAA nilipie mpaka Gomz,nilipie Tena kwenda kivukoni....alafu apande mama na mtoto sijui...eti niwapishe...
Hapana sio sawa !!! Ila ww kwa stor ulizotoa apo juu mmh nahic kuna tanur ndan ya moyo wakoWababa ndo wanaotakiwa kuwapisha seat wamama.
Mbona wapo fundi garage wa kike na wabebaji zege mkuu? Ndio hio hio haki sawa wanayoililia hakuna nyengine. Hawaamini kama mwanaume anatakiwa awe msimamizi wao, wanataka wote waonekane ni sawa.Haki sawa wanaoililia wale sio mnavyoitafsiri huwez kumchukua mwanamke ukampa kaz ya kubeba tofar au fund gerage hii haina tofaut na jaribio la mauaji
Wanaita ni victim mentality. Yaani mtu anajifanya ni victim wa matatizo ili aonewe huruma.... Wapo wengi sana wa namna hii wanatofautiana groups tu......Kwan uyo mama mwenye mtoto kuna m2 alimlazimisha kupanda ilo bas? au hakuona kama bas limejaa?? Mngemuacha2 apambane na mtoto wake maana kapenda mwenyewe kusimama