Swali la kuudhi nitakalomuuliza hiyo mimba ni ugonjwa?Kati ya tabia zinazokera ni kumpisha "mtu mzima" kiti ndani ya usafiri wa umma then unakuta anashuka kituo cha jirani tu; wakati huo anashuka wewe umesimama jirani yake wala asante hakuna wakati kiustaarabu alitakiwa sio tu kusema asante bali kukurudishia siti yako ila ndio hivyo saa hizo wala hana habari na wewe uliyempisha kama aliiokota vile! So, unapoona watu wanakausha kuna mambo mengi; shukrani ya punda ...
Exactly, unakuta limtu linapandia makumbusho stendi kabisa na linataka watu walihurumie kuliachia siti wakati lingesubiri lingekaa...nashangaaga sana watu wanaofanyaga hivi afu wanaona watu wabayaWengine ni viherehere..unakuta magari yapo mengi yamepanga foleni hlf anakuja kupanda lililojaa. Simpishi kwa kweli..
Dah...sasa hivi ana 13+...hongeraaa kwa kukuza[emoji2960]Ni makusudi. Hasa wadada wenye mimba. Pia nalipiza maana kipindi nina tumbo langu hakuna aliyekuwa ananipisha seat. Imagine kupata gari la Gongo la Mboto ilivyokuwa mbinde enzi hizo 2004
Aisee jioni kila mtu amechoka anaitaji kukaa kwenye siti angalau apunguze kero ya foleni then umpishe mtu usimame na basi limejaa aisee mbona mtihani hapo kila mtu anakuwa busy na simu yakeHabarini wana JamiiForums
Leo ndio nimejua mjini shule. Asubuh majira ya saa 5 hivi nilikuwa nimepanda basi la G/MBOTO-KIVUKONI nikitokea G/MBOTO. Nilibahatika kupata siti kipindi safari inaendelea, ghafla akapanda mama mmoja hivi kabeba mtoto.
Mara ya kwanza nilitake easy nikijua kuna mtu atampisha, eeh maajabu watu wamekausha utasema hawajamuona vile. Na katika viti idadi kubwa ilikuwa ni akina mama na wadada baadhi, wanaume walikuwa wachache lakini wapi, wale wanawake wakaupiga kimya basi linaenda kasi huku linatikisika mama mkono mmoja kamshika mtoto mkono wa pili kashika bomba. Watu wamekausha, uzalendo ukanishinda ikabidi niinuke nimpishe, ikabidi nisimame safari nzima.
Sasa basi halijafika mbali kaingia mmama tena kabeba mtoto, watu wamekausha. Huyu hakupata kiti ata cha huruma mpaka tulipofika M/MMOJA kuna mtu akashuka ndio akapata nafasi.
Sasa kimbembe kikaja tena jioni kipindi narudi, kuna mmama kapanda basi na mtoto watu wamekausha mpaka nikaanza kusikitika sasa kipindi navuta gia kusimama nimpishe ndio ghafla yeye akamuomba mdada mmoja amshikie mtoto. Kwa bahati nzuri yule dada akaamua kumpisha kabisa.
WATU WA DAR MNAKWAMA WAPI?
Hii kwel wana roho za kichawiWa bongo awana Imani pata majanga ndio utawajua vizuri mkuu
Sio sahihi maana na wao wanachoka sana, wengine wanaumwa au njaa. Wewe ukipanda daladala na mtoto wako huwa anasimama wewe unakaa?Hii hoja haipo sawa watoto ambao tayar washapata uwezo wa kujisimamia hawa wasimame tu ila wale vichanga ambao muda wote wanahitaji uangaliz wa mama ndio wasaidiwe
Sina tanuru lolote. Why uone kuwa mwanamke ampishe mwanamke mwenzie na sio mwanaume. Wewe ndo una tatizo ..ukarimu hauna jinsiaHapana sio sawa !!! Ila ww kwa stor ulizotoa apo juu mmh nahic kuna tanur ndan ya moyo wako
[emoji2][emoji2]Exactly, unakuta limtu linapandia makumbusho stendi kabisa na linataka watu walihurumie kuliachia siti wakati lingesubiri lingekaa...nashangaaga sana watu wanaofanyaga hivi afu wanaona watu wabaya
January anatimiza 17. Thanks.
Nafikiri wa kulaumiwa hapa ni serikal kwa kutokuwa na sera nzuri za usafiri wa abiria.Nilikuwa nipo mbal nae yaan aliposimama yy na mm kuna umbali na apo karibu kulikuwa kuna vijana na mabint akimama wengine ambao hawana watoto wamekaa
Wakipigwa faini ndio wataanza kujali. Ingawaje, kama wahusika hawajali, basi ni ngumu kutekeleza suala la faini.Kwenye mwendokasi vipo lakini HAKUNA anayejali.
Hujaongelea ulivyopigana pale mlangoni nusura uibiwe kisimu chako😂Joto la dar msongamano wa watu ndani ya daladala foleni , yani mnaweza kusimama kwenye foleni hata masaa 3 alafu nimpishe mtu siti. Hapana kwa kweli
Sasa ulimpisha wa nini mzee mshenzy mshenzy huyo?ulitaka kuwaprove wrong wenzio waliokataa au?We endelea kuwapisha ila itafika kipindi umetingwa utakausha tu,yaan mikikimikiki sababu zinazochangia watu kutowapisha
1.kutokan na pilika za jiji unakuta mwingine kachoka hana hali yaan yeye nwenyewe kajichoka haya anampisha vipi mama mtoto au mzee
2.baadhi ya wamama kujitia wanaweza wakiona gari wao wanafyatuka washazoea maisha ya kusimama ko hata usipompisha anaona poa,m kawaida huwa nawapisha ila kuna sku magar yalikuwa mengi maza anaona limejaa akapanda nikamkaushia
3.roho mbaya za baadhi ya watu au kuona unatoa msaada kwa mtu hata hakujui utakuwa unafanya hvo daily,hunijui sikujui pambana na hali yako
N.B nakumbuka mwaka jana nilkuwa nmepanda gar mbagala to G/mboto gar siti zikajaa wakasimama kizuian akapanda mzee hko nyuma anawalazimisha vijana wampishe jamaa wakakausha dah mzee aliwaka akidai hawajalelewa kimaadili m nikkuwa nimekaa zangu mbele kdogo nkaona isiwe kesi mzee njoo ukae ila sikuona kama alikuwa na haki ya kuwatukana vile moyoni nkawaza mzee kama ulitaka starehe mpaka unazeeka ungekuwa na usafir wako nkaamua kukausha
Wewe na wewe hamnazo kwanini ulaumu wanawake tu, na ujue dar watu huzunguka na gari hulipa Mara mbili, pia kuwa na mimba au mtoto inahusu Nini watu wengine, gari imejaa unaingia ili upishwe then ulaumu wengine. Huwa nashangaa wanaume wanaolaumu wanawake, pia hujui watu wengine Wana matatizo makubwaHii ya akimama kutowapisha akimama wenzao wajawazito au wenye watoto ndio inaniua nguvu kabisa
Hapana niliona kelele zimekuwa nyingiSasa ulimpisha wa nini mzee mshenzy mshenzy huyo?ulitaka kuwaprove wrong wenzio waliokataa au?
Suala la kupisha wazee ndio sitaki kabisaaa kulisikia imagine natoka na mama yangu mtu mzima sijaona mtu akimpisha Sasa Mimi napisha mama wa mtu ili iweje?