Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

Mapovu ya nini Mkuu...!!?
Mbona nyinyi mnapiga picha Kwenye Nyanya za watu (Mashamba) Matikiti, kwenye Mashamba ya Viazi na Makebiji (Gabage) za Wakulima wa huku Mjini, hatuwasemi...!!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee acha ushamba Kila sehemu kunawanao pigika na wanao kula maisha
 
Wakirudi huwa wanawagongea wake zenu nini?
 
Nasoma na kurudi juu tena na tena kuhakiki ni wewe mtibeli unatunanga hivi? Usiweke machungwa yote kwenye tenga moja bwana. Relax kunywa maji mengi.Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Kwasasa Daresalama
 
Kwa nini watu wa Dar mkienda huko vijijini mnabandua pisi za walugaluga, ona sasa wamekuja kuwaanzishieni uzi..
Wakirudi huwa wanawagongea wake zenu nini?
Hawana hiyo jeuri wanaishi kwa vibinti vya mtaani tunaviita washa washa, wake za watu watachukua huko huko kwa wala chips wenzao huku wanajua nini kitawakuta
 
Nasoma na kurudi juu tena na tena kuhakiki ni wewe mtibeli unatunanga hivi? Usiweke machungwa yote kwenye tenga moja bwana. Relax kunywa maji mengi.Kila mtu ashinde mechi zake.

Mpaka hasira zangu ziishe mkuu. Vumilieni tuu
 
Hii ndio tunaita kufatiliana maisha, ishi huko mkoani kwa furaha zako na waache wana-daslam waishi wanavyoona inafaa.
Huko kwenu ugali-nyanya chungu sio chakula?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…