Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

Kuishi DAR tayari unakuwa graduate wa chuo kikuu

Mkoani mnaishi vipi
 
Nini tofauti ya huyu jamaa na genta au ni mtu mmoja id tofauti. Na kama si hivo.
Jamaa wanashare kitanda au walishare ziwa la mama.
 
Thread 'Dar es Salaam ni kama 'Converter', lazima ikubadilishe' Dar es Salaam ni kama 'Converter', lazima ikubadilishe
 
 
Ni balaa, yaani mtu wa Dar akikaa kijiweni huko mkoa kila mtu anamsikiliza yeye.
Hiyo ni zamani. Walikuwa wanasimulia wamekutana na Dudu Baya Kariakoo yuko kwenye bonge la mpikipiki, kampakiza dogo Hamidu nyuma. Siku hizi mambo yote yapo mtandaoni. Watu wa Dar hawana kabisa cha kusimulia. Wamebaki kuongelea puani.
 
Unahasira sana. Wasamehe hao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ongezea wengi wao wanasubiria miujiza.....
 
Mimi si mtabiri ila tu hii battle ya watu wa dar na wa sultan mangungo wa msovero(mikoani) itachukua nafasi ya masingle maza mana kaaah
 
Baada ya Dodoma kuwa makao makuu tulifikiri Dar imekuwa mkoani sasa itapumzishwa, wajuba bado wanayo tu.....
 
Nini kimekusibu mkuu au dunga dunga kapita na wewe nini [emoji1787]
 
Tatizo lao ni wajuaji na hawakubali kushindwa. Tunawaacha kama walivyo maana hawasikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…