Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani


Huyo el sisi si myahudi kweli! Muislamu anaejitambua na kumkhofu Mwenyezi Mungu hawezi kumfuata myahudi au kafiri yeyote anavyotaka
 
Lakn unateseka sana mpaka mwaka huu uishe kilo kadhaa zitakuwa zimepungua. Ushaur kula vizr pumzisha mwili furah na familia yako. Wapigane wao kuteseka uteseke ww. None sense
 
Wayahudi walimzidi Mudi kila kitu. Hata alipoanzisha movement yake ya Uislam ilibidi aige story za vitabu vya wayahudi. Hata manabii aliokoteza manabii na watu maarufu wa kiyahudi (eg Musa, Suleiman,Daviid) akadai ni wa uislam...

Pili, Hawaitwi mayahudi...wanaitwa WAYAHUDI.

Mudi aliwachukia sana mpaka akashindwa kuwaita wayahudi akawaita mayahudi.... ila ndio hivyo walimzidi akili mbali sana.

Na mpaka leo miaka 1400 baadae bado wayahudi wanawahenyesha waislam na waarabu dunia nzima kama walivyofanya kwa Mohamad miaka 1400 iliyopita.

Leo hii kuna nchi 57 za kiislam...ila hakuna nchi hata moja inayoweza kubweka kwa Israel.
 
Hujui chochote mtu wa giza hakuna taifa la kuishinda israel dunian kote hawo misr wamelaaniwa
 
Hamas watakuwa siyo waarabu wanafanya hivyo kuendelea kushikilia mateka ili wapalestina waendelee kufa, na shetani amefumba hata nchi za kiarabu ili ziendelee kuona hamas ni mashujaa huku wapalestina wanaangamia. Yaani unashikilia mateka 134 huku umepoteza raia wako 30,000+? Hiyo siyo akili. Inasikitisha kuona maafa kama hayo na huku Hamas wanaitwa mashujaa
 
Najua hakuna Hamas hata mmoja anayejisalimisha kama anavyotaka Netanyahu tuamini.Wanajua kujisalimisha hakutawasaidia chochote.
Wapigane tu na msaada wa Mwenyezi Mungu kwao uko karibu.
Netanyahu anajua anachokifanya, anajua bila kuwekwa mtu kati hakuna wa kujisalimisha, anabuy muda ili vita iendelee na kuipiga Rafah
 
Netanyahu anajua anachokifanya, anajua bila kuwekwa mtu kati hakuna wa kujisalimisha, anabuy muda ili vita iendelee na kuipiga Rafah
Watu wengi waislamu kwa wakristo duniani wanaendelea kupinga vita vya Israel kwa Gaza.
Wamebaki watanzania na mayahudi wachache wanaotaka vita viendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…