Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani

Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani

Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai.

Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu ambacho hakikuwepo Gaza kabla ya vita.

Vyakula kwa ajili ya wapalestina hao vimejaa kwenye magari ndani ya nchi ya Misri lakini ni lazima vipate ruhusa ya Israel kuingia eneo ijapokuwa Gaza haijapaka na Israel.

Kuna athari gani iwapo Misri itaanza kuchukua maamuzi ya kupeleka misaada Gaza bila kuomba ruhusa ya Israel na kwa upande mwengine nani anayesimamia kutekelezwa kwa matakwa ya Israel ndani ya Misri.

Huyo el sisi si myahudi kweli! Muislamu anaejitambua na kumkhofu Mwenyezi Mungu hawezi kumfuata myahudi au kafiri yeyote anavyotaka
 
Lakn unateseka sana mpaka mwaka huu uishe kilo kadhaa zitakuwa zimepungua. Ushaur kula vizr pumzisha mwili furah na familia yako. Wapigane wao kuteseka uteseke ww. None sense
 
Ukisema Mudi najua unakusudia mtume Muhammad rehma na amani zimshukie. Habari ya wayahudi na Mtume swalaLlaahu alayhi wa sallam huna ubavu wa kuzijadili.Kama huna taarifa mayahudi hawana chao katika akili mbele ya waislamu.Kilichobaki ni ujinga wa waislamu na kupenda dunia tu.
Elimu unayodhani wanayo mayahudi wamesomeshwa na waislamu na wamekopi vya kutosha kutoka maktaba za waislamu zilizokuwa Baghdad na Spain.
Wayahudi walimzidi Mudi kila kitu. Hata alipoanzisha movement yake ya Uislam ilibidi aige story za vitabu vya wayahudi. Hata manabii aliokoteza manabii na watu maarufu wa kiyahudi (eg Musa, Suleiman,Daviid) akadai ni wa uislam...

Pili, Hawaitwi mayahudi...wanaitwa WAYAHUDI.

Mudi aliwachukia sana mpaka akashindwa kuwaita wayahudi akawaita mayahudi.... ila ndio hivyo walimzidi akili mbali sana.

Na mpaka leo miaka 1400 baadae bado wayahudi wanawahenyesha waislam na waarabu dunia nzima kama walivyofanya kwa Mohamad miaka 1400 iliyopita.

Leo hii kuna nchi 57 za kiislam...ila hakuna nchi hata moja inayoweza kubweka kwa Israel.
 
Misri na israhell lao moja
Baada ya kupinduliwa Muhammad mursi pale misri basi ile misri ndio ikapoteza mwelekeo
Alsisi kibaraka wa wazayuni na us akiamua kwenda kinyume na mabwana zake watamuua
Ila misri ingekua sio sirikali ya kibaraka basi Palestine hasa kwenye hiki kinachoendelea sasa gaza
Basi ingekua ishajuulikana rasmi kama wanapewa taifa lao ama laa
Misri hamna sirikali hapo kuna vibaraka tu wa israhell na mazayuni baas
Hujui chochote mtu wa giza hakuna taifa la kuishinda israel dunian kote hawo misr wamelaaniwa
 
Alivyojieleza mwenyewe kwa Antony blinken ni kuwa yeye ni muarabu lakini aliyelelewa katikati ya wayahudi.Sasa inaonekana roho imeathirika na ubaya wa waliomlea na ndio maana akachaguliwa achukue nafasi ya Muhammed Morsi.Yeye ni kiongozi wa mwanzo aliyeamrisha vifaru viponde ponde waandamanaji waliokuwa wamepiga kambi kwenye uwanja wa mashujaa.Watu kwa maelfu walikufa kwa kukanyagwa na vifaru.Hakuna aliyemshtaki wala aliyemlaumu kutoka mataifa ya nje.
asingekuwa na roho ya kiyahudi basi wala asingesubiri ruhusa ya Israel kuingiza maji na chakula Gaza.
Waarabu hata wakiunga mkono kumalizwa kwa Hamas basi kwa kitendo cha kuitelekeza Gaza hawana usalama mbele ya Mwenyezi Mungu.Ni suala la muda tu tutashuhudia wakikumbwa na mikasa ya kutisha mmoja baada ya mwengine.
Hamas watakuwa siyo waarabu wanafanya hivyo kuendelea kushikilia mateka ili wapalestina waendelee kufa, na shetani amefumba hata nchi za kiarabu ili ziendelee kuona hamas ni mashujaa huku wapalestina wanaangamia. Yaani unashikilia mateka 134 huku umepoteza raia wako 30,000+? Hiyo siyo akili. Inasikitisha kuona maafa kama hayo na huku Hamas wanaitwa mashujaa
 
Najua hakuna Hamas hata mmoja anayejisalimisha kama anavyotaka Netanyahu tuamini.Wanajua kujisalimisha hakutawasaidia chochote.
Wapigane tu na msaada wa Mwenyezi Mungu kwao uko karibu.
Netanyahu anajua anachokifanya, anajua bila kuwekwa mtu kati hakuna wa kujisalimisha, anabuy muda ili vita iendelee na kuipiga Rafah
 
Netanyahu anajua anachokifanya, anajua bila kuwekwa mtu kati hakuna wa kujisalimisha, anabuy muda ili vita iendelee na kuipiga Rafah
Watu wengi waislamu kwa wakristo duniani wanaendelea kupinga vita vya Israel kwa Gaza.
Wamebaki watanzania na mayahudi wachache wanaotaka vita viendelee.
 
Back
Top Bottom