Watu wa itifaki Ikulu hii sio sawa

Mleta mada yuko sahihi kabisa.

Kuna lile la Rais wetu anavyoshuka kutoka kwenye ndege, msururu wa watu uko nyuma yake wakati bado yuko kwenye ngazi za ndege. Wamarekani wanayajua sana mambo haya ya 'image creation' ambayo wengine mnaona ni vitu vidogo.

Sisi kila kitu tunachukulia poa bora liende tu.
 
Kwani akibeba mwenyewe mizigo yake Kama alivyo beba akitokea kwao Omani Kuja Zanzibar kunakuwa na shida gani? Mambo mengine ni ujuha na ushamba tuu Kama sio ulevi wa Madaraka.
Una utoto mwingi sana.....

Hata historia tu ya Zanzibar na watu wake huijui utawezaje "critical thinking"?!!!

Hivi ni lini wakazi wa kusini(makunduchi) wakawa na uhusiano na Oman ?!!! Khaaa😲😲🀣🀣

SIEMPRE JMT
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania tumemkosea nini Allah.!?!
Mrundi aliejificha kwenye Usukuma kaenenda nchi ipo kwa mama wa kiarabu toka Omani anaejificha kwenye Umakunduchi.
Waarabu wana wajihi na uso wa mh.Rais?!!Duuh 😲😲😲🀣

FYI: Waarabu hujulikana kwa "MGONGO WA PUA ZAO"!!

SIEMPRE JMT
 
Bro sio kila begi lazima...
 
Yule hata Raisi akiwa na gunia la mchele anambebesha mleta mada haelewi kazi ya huyo ADC ila kaleta ujuaji wa Kibwege

Huyo aweza tumwa hata kwenda kumnunulia Raisi karanga nje wakati Raisi akiwa anahutubia ndani
Jamani jamani jamani! Mtatuua na kucheka

#gunia la mchele#
 
Mtu umeshasema MPAMBE... acha abebeshwe tu.
 
Mtu umeshasema MPAMBE... acha abebeshwe tu.
Kuna kazi gani bora yenye kuufurahisha moyo na nafsi kama ya kumhudumia Amiri Jeshi Wa Majeshi Ya Ulinzi na Usalama na Chifu Mkuu Wa Machifu wote?!!!
 
Yule hata Raisi akiwa na gunia la mchele anambebesha mleta mada haelewi kazi ya huyo ADC ila kaleta ujuaji wa Kibwege

Huyo aweza tumwa hata kwenda kumnunulia Raisi karanga nje wakati Raisi akiwa anahutubia ndani
Bahati Mbaya sana tafsiri ya Mpambe wa Rais kwa hapa kwetu Tz imetafsiriwa very low. Ndio maana hata akibebeshwa mgomba mtasema ni jukumu lake.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Humo kuna mikataba ya ulagai kutoka uskochi, hapaswi kuku yoyote kuijua ndiomana tumembebesha mpambe
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Walishindwa kumushauri kule Ulaya asivae Lile libarakoa,akaonekana kituko, wazungu wenye Corona yao hawakuvaa hata.
 
Hii inaweza ingia kwenye Guinness book.
 
Walishindwa kumushauri kule Ulaya asivae Lile libarakoa,akaonekana kituko, wazungu wenye Corona yao hawakuvaa hata.
Mkuu kwa miaka hii 9 utaupa tabu sana moyo wako kumpinga na kumzodoa mh.Rais SSH 🀣🀣

Kila la heri Komredi πŸ‘

SIEMPRE JMT
 
Kumbuka hapo alikuwa kwenye ndege ya abiria na sio ndege binafsi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…