Watu wa itifaki Ikulu hii sio sawa

Nafikiri ni sehemu ya majukumu yake.
 
Labda ni sehemu ya majukumu yake
Siyo labda Ndugu bali hayo ndiyo Majukumu yake Makuu na sijui ni kwanini Watu wengi hudhani huyo ADC ( Mpambe ) wa Rais ndiyo huwa Mlinzi wakati Ukweli ni kwamba Yeye hahusikia na Ulinzi na kwamba wenye Jukumu la Ulinzi wapo na ni hao wenye Suti na Vidude vya Kupokea Mawasiliano Masikioni mwao.
 
Mkuu kwa miaka hii 9 utaupa tabu sana moyo wako kumpinga na kumzodoa mh.Rais SSH ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Kila la heri Komredi ๐Ÿ‘

SIEMPRE JMT
Wewe unaona kawaida avae yeye tu libarakoa wengine wakimshangaa?
Sina uchungu na mtu.
 
Wewe unaona kawaida avae yeye tu libarakoa wengine wakimshangaa?
Sina uchungu na mtu.
Sawa....

Pamoja na kuchomwa CHANJO dhidi ya UVIKO bado Wataalamu wa afya hawajatushauri tuache kabisa kuvaa BARAKOA.....

Siempre JMT
 
Ya wenzetu Yale ni password za nuclear sio hilo la mama limejaa Madera tu mikataba

 
Hii hapana wamekosea kwakweli
 
Mpambe huyo hana madhara yoyote, laiti ingekuwa ni PBG ndio kabebeshwa mizigo yote hiyo ningelaumu sanaโ€ฆ
 
Sure haijakaa vizuri. Hata kiusalama. PSU na watu wa Itifaki bado wana kazi ya kufanya.
Unajua tofouti ya mpambe na mlinzi binafsi wa raisi? Huyo ni mpambe tu hana lolote hapo wanaume wa kazi kutoka PSU ndio wameshikilia ulinzi wa mama achana huyo mbeba leso na mikoba ya mama hausiki na ulinzi wowote kwa mh. Raisi
 
Yupo zake mbinguni kwa baba hana shida za dunia tena.
Unanikumbusha mbali mno, yaani Hayati Magufuli alipokuwa akifanya ziara ama akiwa akitoa hotuba unakuta watu barabarani wamejaa wanasikiliza madini kutoka kwa jemedari wetu, ila hii awamu ya sita watu ndio hawana habari kabisa na Mama, kwa ufupi mama ana nyota ya upendo kwa watanzania.

Na akitaka asitaafu kwa heshima ni vyema aachia hicho kijiti 2025.
 

Sukuma gang mnatesekea legacy ya jiwe it is Over ;
 
ulaya hawavai barakoa kwanini viongozibwetunwaluochanjwa na familia zao
Ulaya wanavaa barakoa, acha uongo.
Ukiona mtu hajavaa ujue kuna masharti fulani yaliyowekwa ameyatimiza. Lakini bado inakuwa ni uhuru wake kama akiamua kuvaa kulingana na anaitafsirije hali ya mahali alipo.
 
Habebi mabegi peke yake. Kumbuka anatumwa kupeleka bahasha yenye jina la waziri mkuu kwa spika wa bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ