Watu wa itifaki Ikulu hii sio sawa

Yule hata Raisi akiwa na gunia la mchele anambebesha mleta mada haelewi kazi ya huyo ADC ila kaleta ujuaji wa Kibwege

Huyo aweza tumwa hata kwenda kumnunulia Raisi karanga nje wakati Raisi akiwa anahutubia ndani
Huyo yupo hapo kama ishara tu kwamba Majeshi yapo chini ya amiri jeshi mkuu ambaye ni rais. Hana kazi ya maana zaidi ya kuwa alama tu.
 
Hasta la Victoria El Comandante JPM🙏

Ila Nyboma bnaaa ha ha ha 🤣🤣🤣 kwa hiyo mh.SSH asipostaafu 2025 ataikosa heshima Kivipi?!!!
 
Hiyo ndiyo kazi yake haswaa na wala hawajakosea. Huyu siyo mlinzi bali ni msaidizi wa karibu, na kubeba mikoba ya rais ndiyo kazi yake.
we ishia hapo hapo. kama hujui ni vyema ukanyamaza. Tangu enzi za nyerere, mwinyi, mkapa, jk na hata magu uliwahi kuona amebebeshwa mabegi?
 
we ishia hapo hapo. kama hujui ni vyema ukanyamaza. Tangu enzi za nyerere, mwinyi, mkapa, jk na hata magu uliwahi kuona amebebeshwa mabegi?
Toa ujinga wako hapa, sasa tuambie wewe unayejua kazi yake ni ipi kama sio kubeba lesso ya mama na mabegi ya documents mbalimbali..
 
Hasta la Victoria El Comandante JPM🙏

Ila Nyboma bnaaa ha ha ha 🤣🤣🤣 kwa hiyo mh.SSH asipostaafu 2025 ataikosa heshima Kivipi?!!!
Aah mtaalamu ila kwa upepo unavyokwenda mama tupo nae hadi 2030, ANNEX kutamu mkuu 😜😜😜
 
Sawa....

Pamoja na kuchomwa CHANJO dhidi ya UVIKO bado Wataalamu wa afya hawajatushauri tuache kabisa kuvaa BARAKOA.....

Siempre JMT
Wataalamu wenyewe akina Molleli na Dorothy 🤣🤣🤣🤣
Nyie ndo huharibu Mambo badala ya kumushauri mnasifia hata vitu vya hovyo.
Au aliambiwa kwa vile amepokea 1.3m ya Corona avae barakoa maisha yake?
 
Huyo hakutakiwa hata kuonekana kwenye picha ya kiitifaki kama hiyo
 
heeeeee sukuma gang mmeaza....acha abebe tu Mana wengine hawaaminiki uchaguzi bado kidogo tu

Huyo msaidizi wake isipokua kulala pahala na first gentleman wetu babu.....
 
Wataalamu wenyewe akina Molleli na Dorothy 🤣🤣🤣🤣
Nyie ndo huharibu Mambo badala ya kumushauri mnasifia hata vitu vya hovyo.
Au aliambiwa kwa vile amepokea 1.3m ya Corona avae barakoa maisha yake?
Kwani COVID 19 ilianzia Tanzania na kutangazwa na akina Dr.Gwajima?!!!

Komredi kwani njia za kujikinga zinatofautiana nchi na nchi ?!!!🤣
 
Nilimwona waziri mkuu wa uingereza akijibebea mizigo yake kupanda ndege, tatizo ngozi nyeusi tunaendekeza umwinyi sana....
 
Kuwa na mzigo mzito kama huo unapunguza pace, spead maneuverability ikitokea dharura. Ninafahamu majukumu ya Field Assistants (Aide de Camp) na ya PSU Kwa kiasi chake.
 
Alisema eti " nani kawaambia sigombei tena"? Alishalewa madaraka
 
Sio barabarani tu,watu walikuwa wanafuatilia hotuba zake kwenye TV,vijijini huko unakuta watu wamekaa kwenye ki redio wanasikiliza!!!

Sema jamaa alikua anakubalika sana mitaani humu JF na twitter ndo alikua na wapizani!!!
 
Dogo kumbe huko vema unatema madini yaliyojitosheleza na kushusha nondo za hatarii ukiwa umening'iniza poumbou sofani sebuleni kwa shemeji yako.
 
Dogo kumbe huko vema unatema madini yaliyojitosheleza na kushusha nondo za hatarii ukiwa umening'iniza poumbou sofani sebuleni kwa shemeji yako.
Afu Leo shemeji kaachia kitu cha Chicken Korma nimejilamba kama bolizozo....kuhama msahau😁😁😁
 
Afu Leo shemeji kaachia kitu cha Chicken Korma nimejilamba kama bolizozo....kuhama msahau😁😁😁
Hahaha wewe una vituko Aisee. Kwa iyo uendagi tena kwenye ofisi ya shemeji yako mbele kuna picha ya mama?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…