Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hamna kabila kubwa kama Wasukuma, karibu robo ya nchi ni Wasukuma, hivyo basi hawana haja ya kutujua huto tukabila tudogo ambato hata hatuvuki wilayaNiko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine umiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema weww ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi kijiografia.
Hapa naongelea watu wazima na wengine wamesoma mpaka vyuo vya kati.sio watoto au layman
Tembea uone