Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagogo Wametoa Spika ambae amesimamia kutungwa Kwa Sheria mbali mbali hapa nchini halafu unasema hawana impact.
Haha hahah hah. Hapa JF, patamu sana. Watu huamka na moods mbalimbali, stress tuziondoe vipi?moja wanaJF nilikuwa nawaheshimu ni huyu jamaa,ila hapo umeandika pumba na kama hujui Baba yako halisi ni mgogo ombaomba kamuulize mama ako
Wanafahamu kuwa Tanzania tuna makabila zaidi ya 120?Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi kijiografia.
Hapa naongelea watu wazima na wengine wamesoma mpaka vyuo vya kati.sio watoto au layman
Tembea uone
Nadhani ukubwa wa kabila la wasukuma unachangia maana utoke Geita uende Mwanza,Katavi,Shinyanga,Tabora,Simiyu watu wanaongea lugha moja tu,
Hata ukimpa miloni ukamwambia akutajie makabila matano nje ya kanda ya ziwa atafeliWanafahamu kuwa Tanzania tuna makabila zaidi ya 120?
Umenikumbusha, pale Ifunda Tech kila mwaka (form one) kulikuwa na wa kutoka Songea 6, na kati ya hao, 2 wanatoka Songea mjini, 1 anatoka Mbinga, 1 anatoka Tunduru na 2 wanatoka Songea vijijini..!! Sasa kulikuwa na mgawanyo unaofanana na huo toka Tanzania nzima..!! Hapo mtu lazima ujuwe makabila mengineShule za kata zimeongeza umbumbumbu,mtoto anazaliwa kata X anaanza chekechea kwenye hiyo kata mpaka sekondari,chuo cha ualimu anaenda mkoani,anarudi kufundisha kwenye kata yake,hajui kana kuna jamii tofauti.
Enzi za mwalimu,mwanafunzi wa songea akifaulu anapelekwa Tabora kule anakutana na wenzake toka jamii tofauti karibu kila mkoa
Ilisaidia sana ile kuvumiliana maana kila mtu anakuja na tabia zake na tamaduni zake,kuna wanafunzi wnakuja hata kutumia choo hawajui ila wanajifunza kwa wenzao,ilitusaidia sanaUmenikumbusha, pale Ifunda Tech kila mwaka (form one) kulikuwa na wa kutoka Songea 6, na kati ya hao, 2 wanatoka Songea mjini, 1 anatoka Mbinga, 1 anatoka Tunduru na 2 wanatoka Songea vijijini..!! Sasa kulikuwa na mgawanyo unaofanana na huo toka Tanzania nzima..!! Hapo mtu lazima ujuwe makabila mengine
Sasa makabila yanawasaidia Nini wakazi wa Kanda ya ziwa Hadi wayafahamu, watu Wanahutaji huduma za za jamii zilizo Bora wewe unasema habari za makabira !!?
Hapo mtu lazima ujuwe makabila mengine
Watanzania bado tuna safari ndefu. Mimi hua sijui kabisa habari ya makabila wala sitaki kujua mtu ni kabila gani.
Hua nashangaa sana hata ofisini mtu anaweza kuja anauliza "yule jamaa mmakonde umemuona wapi?" Au "ofisi ya yule mluguru ni namba ngapi?" Utasikia "kuna mama mmoja mnyamwezi namuulizia". Mambo ya hovyo kabisa kwa karne hii..
Inasaidia sana ngoja nikupe mifano mitatu,kuna idara moja nyeti serikalini imejaa makabila matatu maana hayo makabila ni waaminifu na wanajua kutunza siri.Watanzania bado tuna safari ndefu. Mimi hua sijui kabisa habari ya makabila wala sitaki kujua mtu ni kabila gani.
Hua nashangaa sana hata ofisini mtu anaweza kuja anauliza "yule jamaa mmakonde umemuona wapi?" Au "ofisi ya yule mluguru ni namba ngapi?" Utasikia "kuna mama mmoja mnyamwezi namuulizia". Mambo ya hovyo kabisa kwa karne hii..
Inasaidia sana ngoja nikupe mifano mitatu,kuna idara moja nyeti serikalini imejaa makabila matatu maana hayo makabila ni waaminifu na wanajua kutunza siri.
JPM alizaliwa chato ambayo ilikuwa mkoa wa kagera ila baadae ikapelekwa geita,chato ingebaki kagera Jpm angeonekana ni mhaya asingekuwa na ushawishi,wahaya wanaigopewa sana
Ukitaka kuoa mke ni bora kujua kabila lake,mfano mwanamke wa kizaramo kila wiki ataenda ngomani,je uko tàyari kumpa ruhusa kila weekend?
Hivi uaminifu wa mpemba na mchaga ni sawa?Ndio maana nasema tuna safari ndefu. Hakuna kabila ambalo ni waaminifu hiyo ni dhana potofu. We nenda gereza lolote lililo karibu utakuta watu wa makabila yote wamefungwa mle.
Uaminifu ni tabia ya mtu, haina uhusiano na kabila. Wapo wapemba wezi kuliko wachaga na wapo wachaga waaminifu kuliko wapemba.Hivi uaminifu wa mpemba na mchaga ni sawa?
Angalia majorityUaminifu ni tabia ya mtu, haina uhusiano na kabila. Wapo wapemba wezi kuliko wachaga na wapo wachaga waaminifu kuliko wapemba.
Angalia majority
Kwenye ndoa wanawake wa kabila la waha wanadumu kwenye ndoa kuliko wazaramo
Mambo mengine sayansi haikupi majibuKuna utafiti wowote wa kisayansi uliofanyika ukaja na majibu hayo au ni maneno ya vijiweni?