TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Mambo mengine sayansi haikupi majibu
Sawa mkuu. Wacha tuendelee na mambo ya vijiweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine sayansi haikupi majibu
Sawa mkuu. Wacha tuendelee na mambo ya vijiweni
Kwa miaka mingapi uliamini pluto ni sayari,kwa miaka mingapi uliamini mimba ya binadamu ni miezi tisa?wanasansi pia tafiti zao zinakoseaSawa mkuu. Wacha tuendelee na mambo ya vijiweni
Nafikiri ulitaka kuandika walimu.... Kioo Cha maarifa... ! Kazaliwa hapo, kasoma msingi hapo, sekondari ya kata hapo, advance hapo, chuo hapo.. ajira hapohapo... Lini atajua uwepo wa eneo zaidi ya "hapo" !!????Soma uzi vizuri,hao ni wasomi hususani waalinu ndio maana nikashangaa
daaah kwhy wasukuma hawatujui sisu wangindo na super star wetu bamboNiko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi kijiografia.
Hapa naongelea watu wazima na wengine wamesoma mpaka vyuo vya kati.sio watoto au layman
Tembea uone
Nadhani ukubwa wa kabila la wasukuma unachangia maana utoke Geita uende Mwanza,Katavi,Shinyanga,Tabora,Simiyu watu wanaongea lugha moja tu,
Hayo makabila ngumu sana kujulikana hata kama umesomaHapo tatizo kubwa ni elimu.
Kama hawasoma usishangae wao kutokujua makabila mengine.
Hata Hapa DAR kuna watu ukiwauliza Wafipa au Wanyiha wanapatikana Mkoa gani watabaki wanakuangalia
Unaitwa mswahili[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nikifika Shinyanga miaka ile, watu wazima kabisa wakawa wananishangaa mbona sijui kisukuma. Wengine wanauliza , hata kinyamwezi hujui?
Usukumani ndo mpk kesho wanaamkia watu waso kabila laoKanda ya ziwa gani hilo?Umekutana na zuzu mmoja ndiyo uwaweke wote kwenye gudulia moja?Na mimi nikikuambia hiyo mikoa mingine wenyewe huwa wanadhani dunia nzima ni wao tu utakataa?Unapita vijijini unasalimiwa kwa lugha yao tu wakidhani nawe ni kabila lao.Na kama umevaa "kiofsa" hadi mababu na mabibi wanakuamkia shikamoo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo tatizo kubwa ni elimu.
Kama hawasoma usishangae wao kutokujua makabila mengine.
Hata Hapa DAR kuna watu ukiwauliza Wafipa au Wanyiha wanapatikana Mkoa gani watabaki wanakuangalia
Wangindo ndio akina mama rwakarare au,ngumu sana kukutana na mngindo mtaanidaaah kwhy wasukuma hawatujui sisu wangindo na super star wetu bambo
MGAGAGIGIKOKO ili kabila niliwahi kulisikia kipindi nasoma tuition mchikidown miaka ya 2011 kuna jamaa walikuwa wanaitwa kwa kabila hili MJOMBA Kim effectMimi kabila langu ni MGAGAGIGIKOKO, unalifahamu hili kabila?!
Acha ubshi kabisa, mkuu. Mtoa mada ana exposure ndogo sana. alichokiandika kwenye uzi wake si cha kushangaza hata kidogo, kipo nchi nzima na dunia nzima.Mkuu wewe ni muongo kabisa.
Makabila mengi ya kanda ya ziwa yana exposure ya kutembelea mikoa mingi kwa ajili ya utafutaji ndani na nje mikoa na kanda zake na hata nchi za jirani, tena katika fursa mbalimbali kuanzia kilimo, biashara, usafirishaji, uvuvi nk.
Hakuna mahali penye fursa na yenye mkusanyiko wa watu utakosa mtu wa kanda ya ziwa.
Halafu Tanzania hii nani ashindwe kujua mgogo ni mtu wa wapi??
Kuna sehemu zingine haujafika.Utaamkiwa hadi uombe pooh!Usukumani ndo mpk kesho wanaamkia watu waso kabila lao
Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi kijiografia.
Hapa naongelea watu wazima na wengine wamesoma mpaka vyuo vya kati.sio watoto au layman
Tembea uone
Nadhani ukubwa wa kabila la wasukuma unachangia maana utoke Geita uende Mwanza,Katavi,Shinyanga,Tabora,Simiyu watu wanaongea lugha moja tu,
Ni kweli hawajui kabisaaa! make ktk Ukombozi wa Bara la Africa, Kagera, UNO, OAU.... sehehmu zooote za ukombozi wa Bara hili wana mchango mkubwa, sana, ni Wakurya tuu! wameandikwa huko! Ndo walienda mstari wa mbele!Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi kijiografia.
Hapa naongelea watu wazima na wengine wamesoma mpaka vyuo vya kati.sio watoto au layman
Tembea uone
Nadhani ukubwa wa kabila la wasukuma unachangia maana utoke Geita uende Mwanza,Katavi,Shinyanga,Tabora,Simiyu watu wanaongea lugha moja tu,
Mkiamkiwa mnalia. wakiwalia kac=vu kavu mnalia eti wanaringa hvi nyie binadamu mnataka nini hasa??? iviivi ndo maanaMungu aliwashindwa!Kuna sehemu zingine haujafika.Utaamkiwa hadi uombe pooh!
Unaweza kukuta huyo mwalimu ni kutoka kwenu ameajiliwa Kanda ya ziwa [emoji12][emoji12]Soma uzi vizuri,hao ni wasomi hususani waalinu ndio maana nikashangaa
Uliwahi kulia siku ambayo haukuamkiwa?Mkiamkiwa mnalia. wakiwalia kac=vu kavu mnalia eti wanaringa hvi nyie binadamu mnataka nini hasa??? iviivi ndo maanaMungu aliwashindwa!
Uko kwenye kilabu cha Pombe gani mkuu?Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi kijiografia.
Hapa naongelea watu wazima na wengine wamesoma mpaka vyuo vya kati.sio watoto au layman
Tembea uone
Nadhani ukubwa wa kabila la wasukuma unachangia maana utoke Geita uende Mwanza,Katavi,Shinyanga,Tabora,Simiyu watu wanaongea lugha moja tu,
Wanajua ila kuna makabila ni aibu kubwa sana wao kujulikana km wao ni kabila flani! Mfano wajameni eti mtu ujiite Muha? yaani uchawi, miguu ilo pinda ushamba uchafu,Hao wagogo na wasambaa wenyewe wanafahamu kama kuna wanyamwezi na wazanaki?
Ewaaa!!! naona umenipata uzuri!...sasa ndo jiulize hapo!!Uliwahi kulia siku ambayo haukuamkiwa?
Nipo karagwe,kati ya watu kumi hakuna aliyejua kuwa kuna kabila linaitwa wasambaa