Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hamna kabila kubwa kama Wasukuma, karibu robo ya nchi ni Wasukuma, hivyo basi hawana haja ya kutujua huto tukabila tudogo ambato hata hatuvuki wilayaNiko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine umiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema weww ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi kijiografia.
Hapa naongelea watu wazima na wengine wamesoma mpaka vyuo vya kati.sio watoto au layman
Tembea uone
Ujutangaze kuwa wewe ni ombaomba, mwizi, chizi, na mkoma?Kabila linajulikana ila kumpata mtu akijitambulisha kuwa mgogo kazi kwelikweli
Nadhani hiyo ni point maana mtu anawwza twmbea km 400 lugha ni ile ile tu akadhani Tanzania nzima ni wasukumaHamna kabila kubwa kama Wasukuma, karibu robo ya nchi ni Wasukuma, hivyo basi hawana haja ya kutujua huto tukabila tudogo ambato hata hatuvuki wilaya
Kanda ya ziwa gani hilo?Umekutana na zuzu mmoja ndiyo uwaweke wote kwenye gudulia moja?Na mimi nikikuambia hiyo mikoa mingine wenyewe huwa wanadhani dunia nzima ni wao tu utakataa?Unapita vijijini unasalimiwa kwa lugha yao tu wakidhani nawe ni kabila lao.Na kama umevaa "kiofsa" hadi mababu na mabibi wanakuamkia shikamoo.😂😂😂😂Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine umiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema weww ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi kijiografia.
Hapa naongelea watu wazima na wengine wamesoma mpaka vyuo vya kati.sio watoto au layman
Tembea uone
Wapi huko niende nikaamkiweKanda ya ziwa gani hilo?Umekutana na zuzu mmoja ndiyo uwaweke wote kwenye gudulia moja?Na mimi nikikuambia hiyo mikoa mingine wenyewe huwa wanadhani dunia nzima ni wao tu utakataa?Unapita vijijini unasalimiwa kwa lugha yao tu wakidhani nawe ni kabila lao.Na kama umevaa "kiofsa" hadi mababu na mabibi wanakuamkia shikamoo.😂😂😂😂
Njombe,Ruvuma na Songwe.Mimi nimekifu "mashkamoo"!😂😂😂😂Wapi huko niende nikaamkiwe
Asa huko si Uganda chief , nenda Tanga ndani ndani huko kawaambie Mimi ni mnyambo , Kijiji kizima lazima wakuulize wanyambo wanatoka wapiNipo karagwe,kati ya watu kumi hakuna aliyejua kuwa kuna kabila linaitwa wasambaa
Wanyambo ni kabila dogo sana hata wenyewe wanajua ,wakija mjini wanajiita wahayaAsa huko si Uganda chief , nenda Tanga ndani ndani huko kawaambie Mimi ni mnyambo , Kijiji kizima lazima wakuulize wanyambo wanatoka wapi
Wote hao ni wahaya tuu, ni kama wanyantuzu wanavyodai sio wasukumaWanyambo ni kabila dogo sana hata wenyewe wanajua ,wakija mjini wanajiita wahaya
Mkuu wewe ni muongo kabisa.Niko kanda ya ziwa,
Nimeshangazwa na kitu kimoja
Watu huku hawajui kama kuna makabila mengine ukiacha yale yanayopotikana kanda yao
Ukisema wewe ni mgogo utaulizwa wagogo kwao ni wapi?makabila makubwa kama wasambaa,wahehe,wangoni,walugulu hawajulikani huku.
Watu hawajuihata Tanga iko wapi kijiografia.
Hapa naongelea watu wazima na wengine wamesoma mpaka vyuo vya kati.sio watoto au layman
Tembea uone
Wanyambo wanasema ni wanyankole toka ugandaWote hao ni wahaya tuu, ni kama wanyantuzu wanavyodai sio wasukuma
Dah kama hujui kuwa kuna dunia nyingine huwezi kujua huduna bora ni ipi,tunapata maendeleo kwa kujilinganisha na jamii nyingine,exposure ni kitu muhimu sana,kuna kabila waliamini ugali ni chakula cha masikini mpaka migomba iliponyaukaSasa makabila yanawasaidia Nini wakazi wa Kanda ya ziwa Hadi wayafahamu, watu Wanahutaji huduma za za jamii zilizo Bora wewe unasema habari za makabira !!?
Kwa hiyo we ulidhani JK ni kabila ganiIla hata mimi kuna makabila siyajui asee nilienda morogoro nikakutana na kabila linaitwa wakaguru eti nikishangaaa juzi ndo najua kwamba wakwere ni kabila
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Shule za kata zimeongeza umbumbumbu,mtoto anazaliwa kata X anaanza chekechea kwenye hiyo kata mpaka sekondari,chuo cha ualimu anaenda mkoani,anarudi kufundisha kwenye kata yake,hajui kana kuna jamii tofauti.Imagine hiyo imetokea miaka hii ya 2020's ambapo Elimu ni Bure, Piga picha miaka Ile Nchi imetoka kupata Uhuru Hali ilikuwaje?
Mwalimu Nyerere alipata shida sana kuongoza Taifa lenye Idadi kubwa ya MaMbumbumbu
moja wanaJF nilikuwa nawaheshimu ni huyu jamaa,ila hapo umeandika pumba na kama hujui Baba yako halisi ni mgogo ombaomba kamuulize mama akoUjutangaze kuwa wewe ni ombaomba, mwizi, chizi, na mkoma?
Unataka kusema mtu asiyeenda Shule kabisa anaweza kufanana na aliye na Shule?Shule za kata zimeongeza umbumbumbu,mtoto anazaliwa kata X anaanza chekechea kwenye hiyo kata mpaka sekondari,chuo cha ualimu anaenda mkoani,anarudi kufundisha kwenye kata yake,hajui kana kuna jamii tofauti.
Enzi za mwalimu,mwanafunzi wa songea akifaulu anapelekwa Tabora kule anakutana na wenzake toka jamii tofauti karibu kila mkoa
Uko sahihi ila exposure muhimu sana,nayenyewe ni elimuUnataka kusema mtu asiyeenda Shule kabisa anaweza kufanana na aliye na Shule?
Mimi naamini suala la Ujinga limeanza kupungua baina ya Jamii ya Watanzania.
Ila tusiache kusomesha watoto wetu Shule nzuri. Ukiweza Bora uzae watoto watatu tu ambao unajua utamudu kuwasomesha hadi Chuo kikuu bila kuhitaji support ya Serikali tena Kwa shule nzuri za 3 - 7M Kwa Mwaka.